Zitto: Serikali ya awamu ya Tano yatia fora kutofikia malengo ya Bajeti

Kuna nonsense unaandika hapa! unategemea kweli sera za nchi ziandikwe kwa kushirikisha wafayabiashara! Hilo la ndege pia huna hoja! Kwa nini unasema ni za kifisadi? Bei ilikuwa na wizi? au una maanisha nini maana usiniambie hoja ya zitto aliyesoma mwaka kwenye vioo. Ktk export umeangalia korosho huinguza kiasi gani kwa mwaka? Kumbuka ni mwaka juzi wafanyabiashara walipoleta upuuzi, kwenye pamba pia mwaka jana wakaleta hayo hayo! Kama serikali ulitaka iseme endeleeni? Nonsense!

Kwenye forex namba moja ni utalii, namba mbili ni madini, tatu ni kilimo. sema wapi umeangushwa na huwezi kukwepa SGR kuchukuwa pesa kwa sababu huna kampuni ndani ya nchi inayowezafanya kazi hiyo. Wanao darin forex bila umuhimu ni hao wanaleta plastiki za china. wanajiita waangizaji kumbe wanaleta plastiki za kuanika vyombo.
 
Kwa wana Lumumba serikali ya Jiwe ikikosolewa, ni kutukana, kukosa uzalendo, kutumikia mabeberu pamoja ....na madai ya kijinga mengine.
Hivi kama wananchi wenzetu mnataka kuipeleka wapi nchi hii? Jiwe akitukana watu, hadharani, ni nderemo na kumsifu wakati maigizo hayo hayajengi nchi wala taifa. Hivi itatusaidia nini kushangilia na kujivunia uharibifu wa nchi yetu tz?
 
Wewe tumeshakuchoka na uongo wako! Hakuna kitu chochote ambacho huongea kina kuwa na manufaa kwenye nchi yetu!

Zitto mdogo wangu, isiwe taabu; njoo hapa uandike kuwa serikali ya awamu ya 5 imekusanya kodi Mara 100 ya kile kilishowahi kukusanywa na serikali zote zilizopita za nchi hii ili nchi hii kwa kauli yako hiyo ipate manufaa.
 

Ndio maana tunawaambieni kuwa serikali ya jiwe itafeli kwa kila jambo. Unategemea policy ipi ya biashara yenye manufaa kwa nchi itakayowekwa bila kuhusisha wafanyabiashara husika? Serikali hii inaweza kuweka policy yeyote ya kibiashara? Nani unaemfahamu kwenye serikali hii anaejua maana ya biashara (kuanzia Magufuli hadi mtu wa mwisho kabisa)? Unaweza kwenda kumuuliza muoka mikate akushauri mambo ya wanyama pori?
Serikali ipi nyingine kwenye nchi zilizoendelea ambazo hazihusishi au inayowatenga wafanyabiashara kwenye policy formulation?
You are all imbeciles and that's why you will fail miserably.
 
Fine, sasa nikuulize, hao mnaowasifikia kwa kuelewa hizo principles za uchumi mnaweza mkatuambia huo ujuzi wao umeisaidiaje hii nchi kiuchumi, kumbuka miaka 60 ya uhuru bado hatuna kabisa cha kujivunia kimaendeleo.
 
Jiwe lako halishauriki hivi lumumba huwa hamuelewi?
 
Fine, sasa nikuulize, hao mnaowasifikia kwa kuelewa hizo principles za uchumi mnaweza mkatuambia huo ujuzi wao umeisaidiaje hii nchi kiuchumi, kumbuka miaka 60 ya uhuru bado hatuna kabisa cha kujivunia kimaendeleo.
Dunia hii hakuna kitu kinachoitwa Principles of economics. Ni usanii tu. usanii huo ndo huo wa akina Zitto. alichofundishwa anadhani ndo uchumi wa dunia. Ukitaka principles na laws, etc. angalia za sayansi. Ukitaka kupata density ni mass/volume duniani kote na utapata jibu. Uchumi hauna principles, na ungekuwa na principles, dunia nzima ingekwisha endelea. Wachumi wetu wangefuata principles tu!

Ndo maana tunamuonya mtu kama Zitto asituletee usanii. France, Korea, China, Singapore, Malaysia, US, etc wamefuata njia tofauti kufikia maendeleo ikiwa ni pamoja na kuuza watumwa na kutawala nchi zingine na kuwaibia. Njia hizo hazina principles, ingawa ziko documented.
 
Unawajua watu unaowaita wafanyabiashara? Ni hao akina Shamte (RIP) ni hao akina Mfuruki (RIP) ni hao akina Mohamed enterprise na mashamba pori yaliyowekwa rehani. Unaweza kushirikiana na mfungwa kutunga sheria za magereza? Au mwanafunzi utunge sheria za shule? That will be nonsensical! Watu wakichuuza kariakoo wakapata pesa unawaita watunge sera?

Sheria zote mbovu za kiuchumi ktk nchi hii ni kwa sababu wahusika waliweka mikono yao. Angalia migodi ya madini iliyoingiza mikono yao hadi Bungeni na kutunga hata vyombo vya kuwasimamia vya hovyo kabisa!!
 
Jinga
Jinga wewe katika context ya kibongo mfanyabiashara kama marehemu shamte,mufuruki, mengi ni watu wenye akili kubwa ni jukumu LA serikali kuwashape ili iweze kuvuna toka kwao, serikali INA jukumu LA kuwatengeneza wajasiliamali kuwa wafanya biashara wakubwa ili ivune kodi,
 
Tatizo siyo makusanyo tu,ni pamoja na matumizi,mipango na kauli. Mambo hayo yakikosa kuendana inakuwa ni sanaa na aibu.
Kama kelele za viwanda,ajira na ujenzi/utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa fedha ndani na deni la Taifa kuongezeka bila maelezo ya kina kuthibitisha hivyo mwisho wake nini kama si kupoteza credibility? Tangu 2015 hadi leo tuliaminishwa kuwa huko nyuma serikali zilikuwa hazifanyi KITU ISIPOKUWA AWAMU HII! Sote ni mashuhuda,je ni kweli? Jibu unalo na wengine pia. Tuendelee kujadili kwa afya ya ubongo na taifa kwa ujumla.
 
Hapo unasogeza goli mbele; alichosema Zitto ni kuhusu serikali kukusanya kodi kwa kufuatia "uchambuzi" wake wa ripoti ya CAG. Ripoti hiyo haina hilo unalosema wewe
 
Ref
Reflection ya ongezeko hilo la makusanyo ni nini?
 

Kwa akili yako kila mfanyabiashara ni mhalifu? Kama una single out wafanyabiashara wasio waaminifu (ambao ni kweli wapo), je hakuna wanasiasa wasio waaminifu pia (ambao ndio watunga sheria)? Kwa Nini usishauri waondolewe wote? Hakuna watumishi wa umma wezi? Je, tuwaondoe wote?
You are as illogical as your demigod. Unabishana na trusted and proved methodologies zinazotumika elsewhere na kwa mafanikio in favour of incompetence inayoonyeshwa na serikali hii?
 
Nakumbuka magu alisema hashauri na ukishauri tu ndio umeharibu! Je unataka ashauri ili aharibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oman waliuza sana watumwa toka ukanda wetu huu takriban 30+ million, sasa sijui wana maendeleo gani leo.

Hata hizo Scientific Theories sijui principles unazoongelea kwa nini basi na sisi tusizifuate ili tuendelee kiteknolojia kama hao wengine.

Hakuna mpango wowote usio na kanuni zake ndio maana hata kwenye biashara wengine wanafaulu huku wengine wakifeli na ndio maana hao akina Singapore, Malaysia, South Korea nk wamefaulu huku sisi tukiendelea kuchuuza visingizio.
 
Kwa ubovu wa akili yako na ufahamu mdogo hata Pablo Escobar na Idd Amin walikuwa na akili kubwa ya ku-shape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…