Kwanza naomba nikufahamu. Una elimu gani boss? Maana neno realistic halina maana fupi kiasi hicho, ingawa maana fupi nilishaiona kwenye dictionary ya kijana wangu wa shule ya msingi. Naogopa nisijejikuta najadili na kijana wa sekondari aliyeko likizo ya Corona. Au niulize una hobbies gani na unasoma vitabu gani?
Kwa kutumia maana fupi uliyoleta, una maan sheria na taratibu za serikali uliambiwa bajeti huwa ni document ambayo ni realistic? Btw., the discussion at hand is not budget ya Tanzania it's malengo ya bajeti. Do you have a hang of this? Kama hujui, usinijibu maana naona kama unarefusha mjadala bila uelewa. Niko hapa napitia maelezo ya fourth industrial revolution.