Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Bwashee kamati kuu ni ukumbi gani?Zilipendwa.
Hivi kwanini wana CCM mnajifanya kuwamaind CDM ?!. Toka lini mkawa na nia njema kwa CDM ?Kweli Chadema imebaki na wanaharakati wa kisiasa ni Chadema ni kama NGO ya kutafutia ruzuku watu wale maisha yasonge. Lakini mwisho waja na ni sasa. Bora Mbowe yeye analenga mpunga tu, lakini hii Chadema ya TUNDU ni asilimia 100% uanaharakati wa kisiasa na inaenda kufa kifo kibaya sana.
Hivi kwanini wana Ccm mnajifanya kuwamaind Cdm ?!. Toka lini mkawa na nia njema kwa Cdm ?
Kweli Chadema imebaki na wanaharakati wa kisiasa ni Chadema ni kama NGO ya kutafutia ruzuku watu wale maisha yasonge. Lakini mwisho waja na ni sasa. Bora Mbowe yeye analenga mpunga tu, lakini hii Chadema ya TUNDU ni asilimia 100% uanaharakati wa kisiasa na inaenda kufa kifo kibaya sana.
Mbona unaongea kama mama mjamzito? Una mimba ya miezi mingapi nikuletee malimao?Kweli Chadema imebaki na wanaharakati wa kisiasa ni Chadema ni kama NGO ya kutafutia ruzuku watu wale maisha yasonge. Lakini mwisho waja na ni sasa. Bora Mbowe yeye analenga mpunga tu, lakini hii Chadema ya TUNDU ni asilimia 100% uanaharakati wa kisiasa na inaenda kufa kifo kibaya sana.
Heche mwenyewe mmemfanyia visa . Team campaign yote ina kesi ya kubumba, mmeharibu ofisi na music system yake. Yaani ninyi ni zaidi ya wachawiTunatamani kujiunga ila uongozi wa juu unakatisha tamaa...
Mpeni uenyekiti Heche tujiunge
Zitto hakufukuzwa vipi wakati alivunja sheria inayomkataza mwanachama kwenda mahakamani?
Soma juu kule.Kamanda, umesoma bandiko?
Mfukuzeni kwanza mwenyekiti wenu ambae hua anawajibu kwamba itategemea nimeamkaje,mkimalizana nae muwaambie CHADEMA nao wafanye hivyo.Ndio alifukuzwa, Chadema inatakiwa mbadili kiongozi otherwise hii saccos itapotea . Haiwezekani miaka na miaka mwenyekiti ni mmoja tu. Huu ni udikteta ndani ya chama , na ndo mana wanawake wanawapanda kichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma juu kule.
Yaani "dikteta" halafu apandwe kichwani na mwanamke?!Ndio alifukuzwa, Chadema inatakiwa mbadili kiongozi otherwise hii saccos itapotea . Haiwezekani miaka na miaka mwenyekiti ni mmoja tu. Huu ni udikteta ndani ya chama , na ndo mana wanawake wanawapanda kichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app