Zitto: Sikuondoka CHADEMA bali nilifukuzwa

Zitto: Sikuondoka CHADEMA bali nilifukuzwa

Jaduong pamoja na kudhalilishwa kote huku bado unakomaa na Chadema ya matapeli!
Hii kitu iko rohoni, kwamba siipendi Ccm. Wala usinihurumie. Hawa kina Halima hamkuwataka majimboni, kulikoni mnang'ang'aniza waingie bungeni ?!

Kibaya mnatumia kibubu vibaya kudhoofisha democracy nchini.
 
CHADEMA tangu imeundwa ina Miaka mingapi na TANU/CCM tangu imezaliwa ina miaka mingapi mpaka sasa?
Umri sio tija ika tunataka mwenyekiti ajiuzulu mana haiwezekani akabariki ujinga wa hawa wanawake , anawaleaje hawa. Mabinti mapaka Wanaenda kujiapisha tena sababu ya njaa na madeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio alifukuzwa, CHADEMA inatakiwa mbadili kiongozi otherwise hii saccos itapotea . Haiwezekani miaka na miaka mwenyekiti ni mmoja tu. Huu ni udikteta ndani ya chama , na ndo mana wanawake wanawapanda kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu, hata kwa 'utani' kwenye simu omba kugombea uenyekiti huko kwenu.
 
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema yeye hakuondoka CHADEMA bali alifukuzwa.

Kupitia ukurasa wake wa twitter amesema kuwa alifukuzwa bila kikao cha Halmashauri Kuu, bali ilikuwa barabarani tu.

Amesema anachukulia hilo kama sehemu ya harakati, na hajabeba chuki kwa tukio hilo.

Zitto alihamia ACT-Wazalendo Machi 2015 akitokea CHADEMA ambako walimtuhumu kuwa msaliti.

Hata mimi ningekuwa Mwenyekiti wa Chadema pia ningemfukuza Zitto kwa sababu alikuwa kibaraka wa CCM haswa Kikwete. Alikuwa anakula huku na huku, alikuwa anavujisha siri za chama chake kwa Kikwete, walipomgundua wakamtema.....Zitto hawezi kukana hili. Ni msaliti sana yule dogo.
 
Nakee, noni? Nakunyelile ubhebhe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2223][emoji2223]

Tulekaga agenayo galibita duhu nkoyi. Mhola ahene.

Kila la heri ndugu yangu, umenifurahisha na sarakasi za siasa za nchi hii
Lekagi eyombo bh'ayanda bh'ane mlehubh'ila...
 
Umri sio tija ika tunataka mwenyekiti ajiuzulu mana haiwezekani akabariki ujinga wa hawa wanawake , anawaleaje hawa. Mabinti mapaka Wanaenda kujiapisha tena sababu ya njaa na madeni

Sent using Jamii Forums mobile app

Tunataka pia Mwentekiti wa CCM ajiuzulu na ampe uenyekiti Dr. Benson Bana maana haiwezekani Mwenyekiti wakina Nape na Kinana watamke maneno yale mazito juu yake.
 
Maneno gani mazito yaliyotamkwa , Taratibu zinajulikana rais ndio mwenyekiti wa chama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika.

Mitano teeeeeeeeeeeeeeena.
EmX9WR_XUAESJUV.jpg
 
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema yeye hakuondoka CHADEMA bali alifukuzwa.

Kupitia ukurasa wake wa twitter amesema kuwa alifukuzwa bila kikao cha Halmashauri Kuu, bali ilikuwa barabarani tu.

Amesema anachukulia hilo kama sehemu ya harakati, na hajabeba chuki kwa tukio hilo.

Zitto alihamia ACT-Wazalendo Machi 2015 akitokea CHADEMA ambako walimtuhumu kuwa msaliti.

ZITTO BWANA, SI ALIONDOKA LAKINI ? HOJA YA MARTIN M. M NI KUONDOKA.PERIOD!
 
Back
Top Bottom