Zitto: Sikuondoka CHADEMA bali nilifukuzwa

Zitto: Sikuondoka CHADEMA bali nilifukuzwa

Naona umeongezea nyama kidogo, lakini msimamo wake ni kuwa... alichukulia kuwa ni sehemu ya harakati hivyo alikubaliana na kusonga mbele.
Alisonga mbele coz alijua alikosea, sasa asidanganye watu hakufukuzwa.
 
Benson Kigaila Katibu Mkuu Msaidizi wa CHADEMA Taifa sijui ana msimamo gani kuhusu hili?
 
Alisonga mbele coz alijua alikosea, sasa asidanganye watu hakufukuzwa.

Ndiyo maana nilipata mashaka kuwa hujasoma bandiko, ni wapi kasema hakufukuzwa?

“Mimi sikuondoka CHADEMA, bali NILIFUKUZWA”. ~Zitto Kabwe.
 
Zitto Mwenyewe kaitisha Kura ya maoni Znz kuamua waingie kwny Ulaji wa Dr Hussein au laa

Lakin hizo kura za maoni wanaozisimamia ni wale ambao wana maslahi na matokeo hayo na wao binafsi wanatamani kura za kuridhia ziwe nyingi kwa kuwa kama ni kujiunga na serikali hiyo wao ndio watakula shavu!

Kwanini waliposusia uchaguzi wa March 20, 2016 hawakuitisha kura za maoni?

Vyama vyote vya Upinzani Tanzania Shangazi yao mmoja… anaitwa UWT au kwa kimombo TISS
Zitto jiandae tu kuvuna wanachama wapya, kama unavyopambanua chama chako kuwa ni cha wahanga!
 
Ndiyo maana nilipata mashaka kuwa hujasoma bandiko, ni wapi kasema hakufukuzwa?

“Mimi sikuondoka CHADEMA, bali NILIFUKUZWA”. ~Zitto Kabwe.
Boss ukikosea either ujiondoe mwenyewe na usilie uliondolewa ukiwa barabarani, au ujikaushe usubiri kufukuzwa.

Kwa issue ya Zitto wakati huo Lissu akiwa mwanasheria wa Chadema alitangaza straight away baada ya jamaa kushindwa kesi yake mahakamani, Zitto sio tena mwanachama wao, ndio maana anasema akiwa barabarani maana yake akitokea mahakamani, hata nyumbani alikuwa hajafika.
 
Boss ukikosea either ujiondoe mwenyewe na usilie uliondolewa ukiwa barabarani, au ujikaushe usubiri kufukuzwa.

Kwa issue ya Zitto wakati huo Lissu akiwa mwanasheria wa Chadema alitangaza straight away baada ya jamaa kushindwa kesi yake mahakamani, Zitto sio tena mwanachama wao, ndio maana anasema akiwa barabarani maana yake kutokea mahakamani, hata nyumbani alikuwa hajafika.

Uko sahihi kabisa, ila kitu sikipati kutoka kwako ni lini ulimsikia Zitto akilialia kuhusu kufukuzwa?

Naikumbuka vema hata hotuba yake ya mwisho akiaga bungeni, March 2015.

Hoja ya leo ni kauli ambayo Zitto kajibu twiti ya mdau huko baada ya kumtolea mfano kati ya waliojiondoa, hakuna sehemu ameonesha kuumizwa na hilo... no grudges!

Na sasa chama chake kinaenda kupata nguvu zaidi kuliko alichotoka, ni suala la muda tu.
 
Leo ndio utaijua CHADEMA. Leo ndio utaujua ubingwa wa Halima [emoji23][emoji23][emoji23]
Ulimwita kamanda. Usubiri ukamanda wake
Unahangaika sana kaa utulie dawa ikuingie taratibu,Mdee na Genge lake leo wanatupwa nje baada ya kukubali kununuliwa kirahisi.
 
Zitto hakufukuzwa vipi wakati alivunja sheria inayomkataza mwanachama kwenda mahakamani?

Ndio alifukuzwa barabarani kwa sababu alijua kwenda kwake mahakamani kumemuondoa, vinginevyo kama anaona alionewa kwanini asingeenda tena mahakamani kupinga kufukuzwa akiwa barabarani?

Hata hawa kina Mdee na wenzake leo, maamuzi yoyote yakitolewa dhidi yao, halafu wakajipeleka mahakamani, nao watakuwa wamefukuzwa automatically, haijalishi wawe barabarani au bafuni.
Kumbe CHADEMA haiamini uhuru wa mahakama
 
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema yeye hakuondoka CHADEMA bali alifukuzwa...
Ndio maana wanaojua siasa wanalitambua hili: katika siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu.

Katika siasa haitakiwi ummalize kabisa adui yako kwa sababu iko siku utamuhitaji akusaidie katika covert au legitimate issue.
 
Kwani hapo kuna mjadala tena?Yes,alifukuzwa mchana kweupe then anataka nini sasa?Abembelezwe sio?

Yeye ajiandae kuchukua makapi yakina Mdee na wenzake,asianza story za paukwa pakawa,Esopooo.
Hiyo ya Makapi unaijua wewe. Subiri uone
 
Back
Top Bottom