Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Dogo alifukuzwa because ni mbea na mnafiki.....alikuwa Chadema lakini alikuwa anamfanyia kazi Kikwete na CCM yake kwa kumpa ripoti za chama chake....kwani nani asiyejuwa hili. Unafikiri kwanini watu don't take Zitto seriously, the guy is bogus.Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema yeye hakuondoka CHADEMA bali alifukuzwa.
Kupitia ukurasa wake wa twitter amesema kuwa alifukuzwa bila kikao cha Halmashauri Kuu, bali ilikuwa barabarani tu.
Amesema anachukulia hilo kama sehemu ya harakati, na hajabeba chuki kwa tukio hilo.
Zitto alihamia ACT-Wazalendo Machi 2015 akitokea CHADEMA ambako walimtuhumu kuwa msaliti.