Alisonga mbele coz alijua alikosea, sasa asidanganye watu hakufukuzwa.Naona umeongezea nyama kidogo, lakini msimamo wake ni kuwa... alichukulia kuwa ni sehemu ya harakati hivyo alikubaliana na kusonga mbele.
Alisonga mbele coz alijua alikosea, sasa asidanganye watu hakufukuzwa.
Zitto jiandae tu kuvuna wanachama wapya, kama unavyopambanua chama chako kuwa ni cha wahanga!
Boss ukikosea either ujiondoe mwenyewe na usilie uliondolewa ukiwa barabarani, au ujikaushe usubiri kufukuzwa.Ndiyo maana nilipata mashaka kuwa hujasoma bandiko, ni wapi kasema hakufukuzwa?
“Mimi sikuondoka CHADEMA, bali NILIFUKUZWA”. ~Zitto Kabwe.
kwa hiyo?Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema yeye hakuondoka CHADEMA bali alifukuzwa...
Hivi we jamaa ni mchungaji Msigwa nini? Mtadata pale mtakaposhtuka hadi mwenyekiti ni upande wa pili sema tu anawashika masikio manyumbuZilipendwa.
CCM wenzetu wanautaratibu wa kubadilishana wenyeviti tokea 2005 Kikwete , na 2015 Magufuli, Sasa nyie Mbowe tokea mwaka gani vileMfukuzeni kwanza mwenyekiti wenu ambae hua anawajibu ITATEGEMEA NIMEAMKAJE,mkimalizana nae muwaambie Chadema nao wafanye hivyo.
Mzee ujui kwamba hata jambazi sugu analainika kwa mwanamkeYaani "dikteta" halafu apandwe kichwani na mwanamke?!
Basi huyo sio dikteta tena.
Boss ukikosea either ujiondoe mwenyewe na usilie uliondolewa ukiwa barabarani, au ujikaushe usubiri kufukuzwa.
Kwa issue ya Zitto wakati huo Lissu akiwa mwanasheria wa Chadema alitangaza straight away baada ya jamaa kushindwa kesi yake mahakamani, Zitto sio tena mwanachama wao, ndio maana anasema akiwa barabarani maana yake kutokea mahakamani, hata nyumbani alikuwa hajafika.
Unahangaika sana kaa utulie dawa ikuingie taratibu,Mdee na Genge lake leo wanatupwa nje baada ya kukubali kununuliwa kirahisi.
Kumbe CHADEMA haiamini uhuru wa mahakamaZitto hakufukuzwa vipi wakati alivunja sheria inayomkataza mwanachama kwenda mahakamani?
Ndio alifukuzwa barabarani kwa sababu alijua kwenda kwake mahakamani kumemuondoa, vinginevyo kama anaona alionewa kwanini asingeenda tena mahakamani kupinga kufukuzwa akiwa barabarani?
Hata hawa kina Mdee na wenzake leo, maamuzi yoyote yakitolewa dhidi yao, halafu wakajipeleka mahakamani, nao watakuwa wamefukuzwa automatically, haijalishi wawe barabarani au bafuni.
Ndio maana wanaojua siasa wanalitambua hili: katika siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu.Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema yeye hakuondoka CHADEMA bali alifukuzwa...
Hiyo ya Makapi unaijua wewe. Subiri uoneKwani hapo kuna mjadala tena?Yes,alifukuzwa mchana kweupe then anataka nini sasa?Abembelezwe sio?
Yeye ajiandae kuchukua makapi yakina Mdee na wenzake,asianza story za paukwa pakawa,Esopooo.
Hivi Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikaa muda gani madarakani?CCM wenzetu wanautaratibu wa kubadilishana wenyeviti tokea 2005 Kikwete , na 2015 Magufuli, Sasa nyie Mbowe tokea mwaka gani vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio,makapi ni mabaki ya kinyesi.Hiyo ya Makapi unaijua wewe. Subiri uone
Wameiga kwa Mwenyekiti wa CCM aliyesema kuna mhimili mzito zaidi kuliko mhimili wa Mahakama.Kumbe chadema haiamini uhuru wa mahakama
Tunatamani kujiunga ila uongozi wa juu unakatisha tamaa...
Mpeni uenyekiti Heche tujiunge
Tunatamani kujiunga ila uongozi wa juu unakatisha tamaa...
Mpeni uenyekiti Heche tujiunge