Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Unajichanganya ulikuwa mfumo wa chama kimoja na ujamaa na kujitegemea ,saizi Ni mfumo wa vyama vingi na ubeberu , democracy.Hivi Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikaa muda gani madarakani?
CHADEMA tangu imeundwa ina Miaka mingapi na TANU/CCM tangu imezaliwa ina miaka mingapi mpaka sasa?Unajichanganya ulikuwa mfumo wa chama kimoja na ujamaa na kujitegemea ,saizi Ni mfumo wa vyama vingi na ubeberu , democracy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wengine wanavyotaka kujiunga na CCM ila wanasubiri uenyekiti wa Chama apewe Dr. Benson Bana.Tunatamani kujiunga ila uongozi wa juu unakatisha tamaa...
Mpeni uenyekiti Heche tujiunge
Hiyo paragraph ya mwisho ndio niko kwenye mchakato wa kuitafutia majibu, naamini early next week nitakuwa nimeshayapata.Zitto Mwenyewe kaitisha Kura ya maoni Znz kuamua waingie kwny Ulaji wa Dr Hussein au laa....
Huko twitter kwenyewe alikuwa analialia, akisema .... no grudges yet bado analizungumzia hilo maana yake bado roho inamuuma.Uko sahihi kabisa, ila kitu sikipati kutoka kwako ni lini ulimsikia Zitto akilialia kuhusu kufukuzwa?
Naikumbuka vema hata hotuba yake ya mwisho akiaga bungeni, March 2015...
Ntonvanve eebhe ng'hana, wewe utakuwa mmoja wao hao wanaharakati haiwezekani umfikirie mwanaume mwenzio ujauzito. Hiiiii ulikarogi ubheMbona unaongea kama mama mjamzito? Una mimba ya miezi mingapi nikuletee malimao?
Unyelile.Ntonvanve eebhe ng'hana, wewe utakuwa mmoja wao hao wanaharakati haiwezekani umfikirie mwanaume mwenzio ujauzito. Hiiiii ulikarogi ubhe
Mtaduwazwa na maamuzi ya CC leo na hamtokaa muamini maisha yenu yote na ndio mtajua kuna makundi mawili ndani genge, yaani wapigaji na wanaharakati. Mwanaharakati alishasepa Ulaya sasa wamebaki wenye Saccos yao unataka wakale wapi?Unahangaika sana kaa utulie dawa ikuingie taratibu,Mdee na Genge lake leo wanatupwa nje baada ya kukubali kununuliwa kirahisi.
Zitto naye bado ana mtego ZanzibarKiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema yeye hakuondoka CHADEMA bali alifukuzwa.
Kupitia ukurasa wake wa twitter amesema kuwa alifukuzwa bila kikao cha Halmashauri Kuu, bali ilikuwa barabarani tu.
Amesema anachukulia hilo kama sehemu ya harakati, na hajabeba chuki kwa tukio hilo.
Zitto alihamia ACT-Wazalendo Machi 2015 akitokea CHADEMA ambako walimtuhumu kuwa msaliti.
Ambaye yupo juu ya sheriaMfukuzeni kwanza mwenyekiti wenu ambae hua anawajibu ITATEGEMEA NIMEAMKAJE,mkimalizana nae muwaambie Chadema nao wafanye hivyo.
Nakee, noni? Nakunyelile ubhebhe 🤣🤣🤣🤸♂️🤸♂️Unyelile.
Mfate nyumbani kwake uwe mke wake.Tunatamani kujiunga ila uongozi wa juu unakatisha tamaa...
Mpeni uenyekiti Heche tujiunge
Mtego wa Zanzibar Zitto anaukabili vyema. Hajatoa msimamo wa chama hadharani kuhusu kujiunga au kutojiunga na SUK. Ila ameacha kaupenyo kakujificha akikubali atasema maoni ya wananchi wengi wanakubali tujiunge.Zitto naye bado ana mtego Zanzibar
Jaduong pamoja na kudhalilishwa kote huku bado unakomaa na Chadema ya matapeli!Hivi kwanini wana CCM mnajifanya kuwamaind CDM ?!. Toka lini mkawa na nia njema kwa CDM ?
Maamzi ni COV 19 wafukuzwe harakaMtego wa Zanzibar Zitto anaukabili vyema. Hajatoa msimamo wa chama hadharani kuhusu kujiunga au kutojiunga na SUK. Ila ameacha kaupenyo kakujificha akikubali atasema maoni ya wananchi wengi wanakubali tujiunge.
Tatizo Chadema mmekurupuka kwenda kwenye vyombo vya habari kabla ya CC kukutana kwa hiyo tayari viongozi na taasisi zake zinataka wananchama na CC iamue kwa uelekeo wao hata pale maamuzi yatatakiwa kufanyika kwa maslahi mapana ya chama.
Ndio shida hiyo, kitu msichokijua, hao 19 pia wana watetezi wao CCMaamzi ni COV 19 wafukuzwe haraka
Vipi mzee 😂😂 za wapi ndugu yangu?Nakee, noni? Nakunyelile ubhebhe 🤣🤣🤣🤸♂️🤸♂️
Tulekaga agenayo galibita duhu nkoyi. Mhola ahene.
Kila la heri ndugu yangu, umenifurahisha na sarakasi za siasa za nchi hii