Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Hii kitu iko rohoni, kwamba siipendi Ccm. Wala usinihurumie. Hawa kina Halima hamkuwataka majimboni, kulikoni mnang'ang'aniza waingie bungeni ?!Jaduong pamoja na kudhalilishwa kote huku bado unakomaa na Chadema ya matapeli!
Kwa hiyo chadema na ccm yote sawa. Wote lao moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wameiga kwa Mwenyekiti wa CCM aliyesema kuna mhimili mzito zaidi kuliko mhimili wa Mahakama.
Chadema ni wachumia Tumbo tu hawana lolote yani.?CHADEMA tangu imeundwa ina Miaka mingapi na TANU/CCM tangu imezaliwa ina miaka mingapi mpaka sasa?
Umri sio tija ika tunataka mwenyekiti ajiuzulu mana haiwezekani akabariki ujinga wa hawa wanawake , anawaleaje hawa. Mabinti mapaka Wanaenda kujiapisha tena sababu ya njaa na madeniCHADEMA tangu imeundwa ina Miaka mingapi na TANU/CCM tangu imezaliwa ina miaka mingapi mpaka sasa?
Hebu, hata kwa 'utani' kwenye simu omba kugombea uenyekiti huko kwenu.Ndio alifukuzwa, CHADEMA inatakiwa mbadili kiongozi otherwise hii saccos itapotea . Haiwezekani miaka na miaka mwenyekiti ni mmoja tu. Huu ni udikteta ndani ya chama , na ndo mana wanawake wanawapanda kichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi ningekuwa Mwenyekiti wa Chadema pia ningemfukuza Zitto kwa sababu alikuwa kibaraka wa CCM haswa Kikwete. Alikuwa anakula huku na huku, alikuwa anavujisha siri za chama chake kwa Kikwete, walipomgundua wakamtema.....Zitto hawezi kukana hili. Ni msaliti sana yule dogo.Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema yeye hakuondoka CHADEMA bali alifukuzwa.
Kupitia ukurasa wake wa twitter amesema kuwa alifukuzwa bila kikao cha Halmashauri Kuu, bali ilikuwa barabarani tu.
Amesema anachukulia hilo kama sehemu ya harakati, na hajabeba chuki kwa tukio hilo.
Zitto alihamia ACT-Wazalendo Machi 2015 akitokea CHADEMA ambako walimtuhumu kuwa msaliti.
Mwenyekiti wa Chadema anataranta ya kuwa mwenyekiti wa mda wote.Hebu, hata kwa 'utani' kwenye simu omba kugombea uenyekiti huko kwenu.
Vipi mzee [emoji23][emoji23] za wapi ndugu yangu?
Ndio alifukuzwa, CHADEMA inatakiwa mbadili kiongozi otherwise hii saccos itapotea . Haiwezekani miaka na miaka mwenyekiti ni mmoja tu. Huu ni udikteta ndani ya chama , na ndo mana wanawake wanawapanda kichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Demokrasia gani wanaipigania, wakati mwenyekiti ni mmoja all time, Leo naimani Chadema watamfukuza mwenyekiti na Covid 19wanakwambia wanapigania demokrasia
Lekagi eyombo bh'ayanda bh'ane mlehubh'ila...Nakee, noni? Nakunyelile ubhebhe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2223][emoji2223]
Tulekaga agenayo galibita duhu nkoyi. Mhola ahene.
Kila la heri ndugu yangu, umenifurahisha na sarakasi za siasa za nchi hii
Umri sio tija ika tunataka mwenyekiti ajiuzulu mana haiwezekani akabariki ujinga wa hawa wanawake , anawaleaje hawa. Mabinti mapaka Wanaenda kujiapisha tena sababu ya njaa na madeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno gani mazito yaliyotamkwa , Taratibu zinajulikana rais ndio mwenyekiti wa chamaTunataka pia Mwentekiti wa CCM ajiuzulu na ampe uenyekiti Dr. Benson Bana maana haiwezekani Mwenyekiti wakina Nape na Kinana watamke maneno yale mazito juu yake.
Huku CCM wakiwa ni wala hela za COVID za Wazungu na pesa za matetemeko.
Hakika.Maneno gani mazito yaliyotamkwa , Taratibu zinajulikana rais ndio mwenyekiti wa chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu.Kwa hiyo chadema na ccm yote sawa. Wote lao moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeyo lulu eke nahene domdegeleke naheneLekagi eyombo bh'ayanda bh'ane mlehubh'ila...
ZITTO BWANA, SI ALIONDOKA LAKINI ? HOJA YA MARTIN M. M NI KUONDOKA.PERIOD!Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema yeye hakuondoka CHADEMA bali alifukuzwa.
Kupitia ukurasa wake wa twitter amesema kuwa alifukuzwa bila kikao cha Halmashauri Kuu, bali ilikuwa barabarani tu.
Amesema anachukulia hilo kama sehemu ya harakati, na hajabeba chuki kwa tukio hilo.
Zitto alihamia ACT-Wazalendo Machi 2015 akitokea CHADEMA ambako walimtuhumu kuwa msaliti.
Demokrasia gani wanaipigania, wakati mwenyekiti ni mmoja all time, Leo naimani Chadema watamfukuza mwenyekiti na Covid 19
Sent using Jamii Forums mobile app
Bhebhe ngaluh ulenhaleh? Ugekhalaga he?Eeyo lulu eke nahene domdegeleke nahene