Zitto: Sikuondoka CHADEMA bali nilifukuzwa

Dogo alifukuzwa because ni mbea na mnafiki.....alikuwa Chadema lakini alikuwa anamfanyia kazi Kikwete na CCM yake kwa kumpa ripoti za chama chake....kwani nani asiyejuwa hili. Unafikiri kwanini watu don't take Zitto seriously, the guy is bogus.
 
Hii kitu iko rohoni, kwamba siipendi Ccm. Wala usinihurumie. Hawa kina Halima hamkuwataka majimboni, kulikoni mnang'ang'aniza waingie bungeni ?!

Kibaya mnatumia kibubu vibaya kudhoofisha democracy nchini.
Kama huipendi Ccm ndio unga'ang'anie chama kibovu na matapeli kama Cdm! Nani amelazimisha waingie bungeni? Sio uhuni wao waliofanyia na kuwadhalilisha!
 
Kama huipendi Ccm ndio unga'ang'anie chama kibovu na matapeli kama Cdm! Nani amelazimisha waingie bungeni? Sio uhuni wao waliofanyia na kuwadhalilisha!
Mzee keishasema atawalinda kwa gharama yeyote . Tusio na maana tutasemaJe ?!.
 
Harakati ni sehemu ya kazi katika chama cha siasa
ndio maana kuna vitendo vya uenezi vya chama vikiwa na lengo la kutengeneza ushawishi na utetezi wa haki za kiraia kwenye mfumo kandamizi kama huu wa chama dola
 
Nakuelewa vyema, ni sawasawa hata mpuuzi akithubutu kudhihaki taasisi ya urais lazima aadhibiwe mwishowe akimbie nchi atuache wazalendo wa Taifa hili, haya mavyama yenu ya kikabila tusipoyadhihiti yataligawa Taifa
 
Vingi mlijifanyia wenyewe ili ku stage matukio.

The point is Heche anaweza kuwa serious mwenyekiti
Heche mwenyewe mmemfanyia visa . Team campaign yote ina kesi ya kubumba, mmeharibu ofisi na music system yake. Yaani ninyi ni zaidi ya wachawi
 
Kutukana ni dalili ya kuingiliwa na mapepo kinyume na maumbile...

Kaombewe mkuu [emoji3][emoji3]
Mfate nyumbani kwake uwe mke wake.
Uongozi wa chama unapatikana kwa kugombea,kupigiwa kura na sio kupewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…