Zitto: Siogopi kubambikiziwa uhujumu uchumi, Utakatishaji fedha (USD 2M), nakuja!

Msisubiri kubanwa na Mamlaka ndo muanze kutuomba huruma zetu wakati mkinunua mahammer na ma V8 mnafunga vioo na kuweka tints tusiwabugudhi.
Kwa hiyo wewe unaamini kuwa mwenye V8 na Hummer anaeweka tints na kufunga vioo kwenye gari ni kwa sababu hataki kubugudhiwa? Such a pathetic belief!
 
Sina hakika na hilo la kubadilika, kwa sababu sioni popote wanapokubali kwamba sasa kuna tume huru, au?

Yote si yanaweza kwenda kwa pamoja?
Duku duku langu ni hili: Kama CCM ina uwezo wa kuiba kura kwanini wahangaike ili kumzulia Zitto kesi ili asishiriki uchaguzi? Si wana uwezo wa kungojea wakati wa uchaguzi wakaiba?
 
Kuongealeaongelea issue hiyohiyo ndo uoga wenyewe.
Kwani umetakatisha fedha?
Jiandae tu bro. Mahakamani hawataangalia uliongeaongea kiasi gani.
Ni evidence tu ndo zitakuokoa
 
Huyu kiongozi aliyepo White House yetu ni hatari sana.Anachohubiri usiku na mchana hatekelezi(Vita dhidi ya rushwa na ufisadi).Taasisi za kiutendaji amezigeuza Teeth less,vita hii sasa ndiyo fimbo yake ya kuwachapa wanaompinga/kumkosoa.
 
Mitanzania kama nyumbu.

Hapa kwa kuwa yanamnyemelea Zitto Badala Ya KUTAFAKARI tunachekelea meno nje kama Ngiri na kuona kama hayatuhusu.

Tito Magoti na wenzake tushawasahau.

Tutadakwa mmoja baada ya mwingine mpaka tutakwisha.

#NyumbuSisi
 
Hii preemptive technique imebuma, kesi anayo asitafute visingizio.
Zitto ameshindwa kujipenyeza kwenye awamu hii kama alivyokuwa kwenye awamu iliyopita. Nadhani wakati huu amekwisha ¡¡¡ Unafiki hauwezi kudumu MILELE
 
Naona wanasiasa wanazd kutupa furaha tu ahahaha. Hii nchi bhanaaaaa
 
Sasa TAKUKURU wanarudi tena kwenye Tegeta Escrow kwa tuhuma zingine za kubumba zenye lengo la. A, ndani muda mrefu ili nisishiriki Uchaguzi Mkuu. Ninawaambia tena, SIOGOPI. TAKUKURU Waache kufanya kazi kama Jumuiya ya Nne ya CCM - Wazazi, Wanawake, Vijana na TAKUKURU.
[emoji867]
Hapo usijihami wala usiogope kama unavojidai, wacha Takukuru wafanye kazi yao, wasiwasi nini kama huna kosa utawasaidia kupata mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto is strategically & meticulously building a trap. Too bad the culprits can’t see it.


Sent using Jamii Forums mobile app
He is also systematically digging his own grave ! Would he had had a chance he could have asked Morgan Tsvangirai on what had befallen of him in the course of betraying his country believing delivering his country to the west! He was dumped by the very Americans and died in SA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…