Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015


Hivi hujui kulegeza akili yako kiasi hiki unakuwa huna tofauti na mnyama mjinga...?Nilichoongea hata Mbatia lisema bungeni.Zitto ni Mbunge, ni makamu mwenyekiti na nafsi nyingine kumpigia simu na kupokelewa na mambo ya dini kwako ni kawaida kwa vile akili yako ndio imelegea kw akiasi cha kushindwa na mnyama mjinga kabisa.Sasa km hili limekushinda si ungeachana na kulilia kila kitu kuw aunaweza?

Hujasoma ulichokitolea haya maneno?Umeacha ku quote ili ujinga wako usionekane?Nilieleza kabisa kosa lake km kiongozi wa watu wa dini zote kutumia miito ya dini?

Wabongo wengi mmezidisha upumbavu sijui ni sembe limezidi, na misosi inayodumaza mbongo.Umekimbilia udini ..mdini mkubwa wewe.Km ni udini undahani ningeogopa andika hapa?
 
Ni sawa na Pasco. Yeye bila Lowassa ni sawa na bure!
Ni kweli!.
Sometimes huwa najaribu kuwafikiria wana jf wenzetu ndani ya vichwa vyao mna nini?.
Humu ndani tuna watu ni vichwa kweli, ila pia vichwa maji, vichwa nazi, vichwa tope, vichwa madudu pia vipo!.

Pia size ya kichwa ina matter, kuna watu wana vichwa kama kitenesi, nazi, mpira, kama boga, kama tikiti, na wengine kama fenesi!
Kwa vile hatujuani, mtu unabaki kuimagine tuu kwa kadri mtu anavyopost!

Mkuu Mzito K, nimeisha kuimagine! naomba nikuhifadhi kundi lako na size yako, just kaa ukijua, nilijua!. Ukiizidi nitalitaja!.
P.
 
Mwezi Septemba mwaka 2006, Zitto Zuberi Kabwe alitangaza nia yake ya kutogombea Ubunge mwaka 2010 na ilipofika Novemba 2009 mwaka moja kabla ya Uchaguzi Mkuu akasisitiza tena hiyo nia yake kama ifuatavyo;
Aligombea na alipata Ubunge kupitia Chadema!

Septemba mwaka 2012, Zitto Zuberi Kabwe alitangaza nia yake ya kutogombea Ubunge mwaka 2015 na badala yake atagombea Uraisi kupitia Chadema;
Mmmh! ...Juzi juzi mwaka huu wa 2013, Zitto Zuberi Kabwe kaibuka tena na kutangaza nia yake ya kutogombea Ubunge wala Uraisi mwaka 2015 na safari hii kasema hivi;
Safari hii mimi sitatia neno!
 

nilichojifunza ni kuwa Zitto ni mnafiq
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu Zitto mara nyingine simuelewi kabisa. Wakati wa kipibdi chake cha kwanza cha Ubunge, aliwahi kusema kuwa hatagombea tena Ubunge mwaka 2010 lkn muda ulipofika akagombea!

Labda hiyo ndio silika ya wanasiasa wa Tanzania; kuwa na ndimi mbili mbili.

Ushauri wangu kwako mdogo wangu; ikiwa kweli unazo ndoto za kuja kuwa Rais wa nchi hii siku moja, basi mwaka 2015 ndio muhimu zaidi kwako. Kwanza, gombea tena Ubunge na hakikisha unashinda kwa kuwa ukishinda unaweza kuwa ni Mbunge pekee aliyedumu kwenye Ubunge kwa kipindi kirefu zaidi baada ya Vyama vingi, pili; itathibitisha nguvu yako kisiasa ambayo itakusaidia kufikia maono yako ya kugombea Urais na sifa utakuwa nazo- ukongwe kwenye siasa, nguvu kubwa kwente siasa za Tanzania, na umri sahihi kikatiba kugombea uraisi, na pengine utakuja kuwa Rais pekee kijana zaidi aliyechaguliwa kidemokrasia katika Afrika.
 

Mmmmh...ngoja niisave hii thread.
 


Kasoma chuo cha kata India anatamba nayeye ni msomi,watu wana CV zao humu wamepiga zao kimya tuh,

Sijui angekuwa msomi wa sheria kutoka vyuo vya maana kama HAVARD sijui kama tungelala,Mtu mwenye Njaa daima hakosi majivuno na majisifu hasa hasa hizi njaa zinazowaingia hadi vichwani,
 

Kitendo cha Zitto kuchunia hii thread inanitia wasiwasi.........................!!
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaaaa
 

Sio siri jinsi tunavyoimba mabadiriko nahisi angekaa kando kabisa kasi yetu haiwezi ....nilikuwa supporter mkubwa sana wa siasa za bwana zitto ila kutokana na siasa zake niseme tu Mungu anusamehe za kishetani ....kufifisha matuamaini yetu kutokana na hujuma dhidi ya CDM leo hii simpendi kupindukia na hususan siasa zake za majivuno na kupenda sifa binafsi na si za chama kwa lolote atakalofanya...angefika mbali sana huyu bwana ktk siasa za tz ila kajimaliza kwa Uspy wa usiotija. Upumzike kwa amani nje ya siasa imebidi mkuu nami naunga mkono 100%
 
Me kama kijana noma sana,chezea chaga wewe,kila utaemkuta tanzania mzima serekalini au nje lazima awe cdm,shughili zote za katibu mkuu akiondoka anapewa mnyika afanye eti kwasababu ni wa kilimanjaro mpare.
 
hivi ben anatoka mkoa gani? Au bukoba?
 
Me kama kijana noma sana,chezea chaga wewe,kila utaemkuta tanzania mzima serekalini au nje lazima awe cdm,shughili zote za katibu mkuu akiondoka anapewa mnyika afanye eti kwasababu ni wa kilimanjaro mpare.
 
La kutogombea ubunge alishalisemea siku nyingi, La urais ndiyo jipya.



UAMUZI WA BUSARA
 
vijana hawa wanaokula ada za wanafunzi wenzao kwa kwenda TAHILISO na kwenda kuongea ----- ni mazuzzzzzuuuu/.
 
Anaposema hatogombea urais kwani kikatiba umri atakaofikia ni legally kugombea huo urais? Au anataka tu umaarufu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…