haha..nasikia jini wake sasa hivi anataka Escrow kuliko Richmond au Buzwagi..alizosema kuwa aliibua.Sasa hii ya kafulila nayo anataka iteka anililia km mtoto wa kisomali aliyekaa na njaa kazi ya kumfanya aliwe na vulture akiwa hai anaposhuhudia harufu ya Nyama choma.Ikitokea ZITTO Akaacha siasa,nchi hii MAFISAFI(MBWE na CHADEMA Inclusive)watafanya sherehe kubwa saaanaaaa!
Lecturer Zitto
Jamani hata Dr.Slaa alisema hatagombea Urais mwaka 2015.. je, mnalo la kusema. Mbowe alisema hatagombea uenyekiti 2013 mnalo la kusema..Iweje kila kukicha ni Zittooo Zittoooo! hamchoki!
Jamaa huyu anasahau mambo sasa kama alisema hatagombea Ubunge wala Urais atakwenda kufundisha vyuo,mbona sasa anahaha mara agombee Ubungo,Kawe na kigoma mjini?