Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Jamaa huyu anasahau mambo sasa kama alisema hatagombea Ubunge wala Urais atakwenda kufundisha vyuo,mbona sasa anahaha mara agombee Ubungo,Kawe na kigoma mjini?
 
Ikitokea ZITTO Akaacha siasa,nchi hii MAFISAFI(MBWE na CHADEMA Inclusive)watafanya sherehe kubwa saaanaaaa!
 
Ikitokea ZITTO Akaacha siasa,nchi hii MAFISAFI(MBWE na CHADEMA Inclusive)watafanya sherehe kubwa saaanaaaa!
haha..nasikia jini wake sasa hivi anataka Escrow kuliko Richmond au Buzwagi..alizosema kuwa aliibua.Sasa hii ya kafulila nayo anataka iteka anililia km mtoto wa kisomali aliyekaa na njaa kazi ya kumfanya aliwe na vulture akiwa hai anaposhuhudia harufu ya Nyama choma.
 
Huyu hajaoa. Huenda anadhani MaLecturer wanafaidi sana mifupa laini!! Na yy anataka akamalizie umaarufu wake huko. Kwa kuvua watu vyupi!
 
Hahahhhhaaaaaaa bavicha hamnazo kweli hiyo ni 2013 duuuuuuu mnatapika tu
 
Jamani hata Dr.Slaa alisema hatagombea Urais mwaka 2015.. je, mnalo la kusema. Mbowe alisema hatagombea uenyekiti 2013 mnalo la kusema..Iweje kila kukicha ni Zittooo Zittoooo! hamchoki!
 
Jamaa huyu anasahau mambo sasa kama alisema hatagombea Ubunge wala Urais atakwenda kufundisha vyuo,mbona sasa anahaha mara agombee Ubungo,Kawe na kigoma mjini?

Wakati anatamka hayo hakuwa na uhakika wa ufadhili kutoka chama anachotumikia na wale jamaa aliowataja Nyaronyo Kicheere kwenye gazeti ya Mawio.ya wiki hii. Sasa baada ya usaliti ana.uhakika wa fedha.
 
kabla ya kusema haya alikuwa ni yeye mwenyewe na mawazo yake; hata aki badilika ni yeye na mawazo yake!! sasa unawezaje kumlaumu mtu ambaye mawaz yake ya awali ni yeye mwenyewe ndiye aliyatoa?? kwa nn haukumlaumu kawa wazo hilo??
 
Dhambi ya usaliti na unafiki wa Zitto haiwezi kumfikisha mbali kisiasa.
 
huyu ndumilakuwili mbona. Huko chuoni kafundishe usaliti ndo wanafunz watafaulu
 
Nimepitia tovuti ya bunge nakuona Zitto amezaliwa 24 sept 1976. Kikatiba mgombea Urais anatakiwa awe na miaka 40, sasa nawauliza wadau ifikapo oct 30,2015 Zitto hatakuwa na miaka 40? Mimi nilitatanishwa na hili siku ya ijumaa kuu so wadau naomba mawazo yenu ili kama vipi nikamshawishi achukue fomu, maana jamaa anaweza!!
 
Kama ni kugombea tu ana weza ila hana sifa za kuwa rais vinginevyo watanzania tutaachwa kwenye mataa.
 
Back
Top Bottom