Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

si yeye kajivuruga....?si mara kibao humu tulikuwa tukiwaambia kuwa dogo ni psychopathic.

Si alisema ana mwito na uzalendo sana, CDM wameuondoa, si alisema anazo sifa zote za kuwa Amir Jeshi mkuu wa hii nchi?Si alisema ataua hadi panya watu wakiingia ktk njia zake......

Tunasubiri next funny move.....sijui km ya Makamba ?

Si alisema hataongelea tena suala urais hapa?https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...adala-kuhusu-yeye-kugombea-urais-5-print.html

Leo imeakuaje ameongelea?
 
Zito anaona mbali, mawaziri hawatakuwa wabunge, so anajipanga.
Indirectly anamsapoti kijana mwenzie ili akiingia tu, naye anashika wizara.
ndo maana yake...nawashauri hata kina lisu,mnyika,msigwa,lema,nasra,sugu,mdee waachane na ubunge,wasubiri kuja kuwa mawaziri,japo tena ccm ikishinda itakuwa imekula kwao.
 
Mbona hizo sifa walizo zitaja 8 hana huyo dr. Wa injili? Sasa watamsimamisha nani hiyo nafasi ya urais kwa cdm?
 
Ninawasikitikia sana vijana wenzangu wa nchi hii, kwakweli ni aina ya vijana ambao hawaamini kuwa hawaamini wanachokiamini,

Mtu yeyote anaweza kuwageuza akili zao vyovyote apendavyo,

Namshukuru sana kamanda mwenzangu Ben Saanane kwa kusimamia nakuiishi imani yake bila kutetereka,

Niliwahi kuandika na ninatembea nakuishi katika imani hii kuwa Zitto Kabwe Naibu Katibu wangu wa Chadema ni "Mnafiki" namba moja kati ya wanafiki wote nchini wanaoishi kwa siasa!

Haya hapa chini yataishi na kutembea kichwani na moyoni mwangu daima!

Always mimi nimekuwa nikimuonea sana huruma Zitto km wasanii wa Bongo fleva wanaouuza unga wa wakubwa sana basi hupigiwa upatu sana....Zitto aliingia ghafla ktk siasa wakati CDM walikuwa na wabunge wachache na hivyo kumtumia ktk majukumu mengi....kilichoniudhi ni huyu kijana hakutaka jielewa uwezo wake na wapi chama kilikuw akikimbeba ili aongeze jitihada sana kufunika mapungufu yake.Hata wacheza mpira professionals huwa na namna nyingi sana ya kuziba mapungufu yao.

Ben Saanane in big time more smarter than Zitto, badala ya Zitto kulijua hilo na kumaliza mapungufu yake kwa kushirikiana na wengine ili wampe ushirikiano wa kumjenga alikuwa Busy kumchafua Ben, just because alidhani kuwa Popolarity alijipatia kwa CDM na Magamba ingeweza msaidia kummaliza Ben in Public.

Namsikitikia sana na nawasikitikia watakaokwenda fundishwa na Zitto, kwa jinsi alivyo biased, kwa jinsi alivyo na personality problem, kwa jinsi alivyo logwa na mitizamo ya Haroub Othman, mitizamo ya Lipumba.Tutaona replica nyingine ya Lipumba na Haroub Othman, tutaona product nyingine mbovu kutoka vyuo vyenye wasomi wanaoshikiliwa na vyeti na siasa za makundi fulani nyuma yao.
 
Mungu wangu
 
Nilishasema usiniite kwenye thread za kipuuzi.

"Looking in the wall street journal for your face but its always absent.."

Upambe na njaa zitakuua bwana mdogo,thread za kipuuz kwamba vipi unawadharau hawa wote wanaochangia na kusoma huu uzi kuwa ni wapuuzi??

Mods walioamua kuuacha huu uzi ili watu waje kujadili na kukosoana ni wapuuzi??

I think mpuuz utakuwa ni wewe unaedhani kwa kuwa kimbelembele na kuwa mpambe,usie na mbele wala nyuma basi unaweza kujenga status na strong identity,pole sana

Unajua nini wewe mchumia tumbo,"YOU WILL BE KILLED NOT FOR YOUR HUNGER,BUT YOU WILL BE KILLED BY YOUR HUNGER"

Must be so so crazy,stupid & dumb,you cant move even your own block..!

Who the hell are you?
 
ben in public?public ya wapi,?huyo ben tunamjua humu jf tu..
 
Mwanasiasa mzuri siku zote anatakiwa kuwa na malengo ya mbali na kuyatekeleza

Hii tabia ya kuwa opportunist ni mbaya sana na ndicho kinachowagharimu Zitto,Jussa na January Makamba

Wapo tayari kwa lolote ilimradi wanapata umaarufu

zito angetulia vizuri na chadema angefika mbali.akina Tundu Lissu wameibuka na kasi yao ya kujenga chama inatisha.January ni mnafiki ila yuko makini hata siku moja hawezi kukihujumu chama chake na ndiyo maana hata ile petition ya bungeni kumng'oa waziri mkuu hakusaini.

hapa anafuatilia weeee halafu kesho utamsikia anatoa press statement

Siku zote huwa sina woga namwita psychopathic .Utamsikia tena na drama nyingine very soon..KWani akienda hata ktk hivyo vyuo si muda utamsikia akileta fujo na wakuu wake.Ataanza piga kelele na CV za bunge, CDM, na kamati nyingine, sijui na mshauri wapi.....

Labda JK amuwahishe mapema na kumpa ukuu , ili akasaidie kushambulia wana CDM wachanga.Otherwise tusubiri move nyingine za kuchekesha ....psychopathic hakosi rudi ktk cyclic reasoning na activities, huwa anazuga kidogo tuu anaibuka kivingine km vile watanzania, hawana direction.
 
duh GT wa cku hizi bana......mkuu wewe ni mmoja wa failure wa mwaka jana? au akili zimezidi mno?

Zitto ameamua kukaa pembeni na siasa, hayo maswali unauliza kama Zitto umemtengeneza wewe na unamwamulia maisha, what a shame!!

Probing is an art you silly platyhelminth!!!

Na kuwa mmoja katika jukwaa la GTs haimaanishi upeo wako unafanana na hao walengwa au hujui humu tukipewa mtihani lazima apatikane wa mwisho????!!!!

Jitambue simbilisi mdudu pori wewe!!!
 
Hitimisho lako ni zito sana, una ushahidi wowote kwamba hivi ndivyo alivyo, au ndio mtindo huohuo wa hisia kuzibadilisha kuwa kweli? Wazungu wanasema: 'we suspect in others what we feel in ourselves'. Yaani wakati mwingine binadamu huwa tunawaza kitu fulani akilini mwetu na kujiona sisi tulivyo na kudhani na kujiaminisha kwamba hivi ndivyo walivyo watu wengine. Angalia ndugu yangu usije ukawa hivyo ulivyo ukadhani na wengine ndivyo walivyo!!

Hisia ni kitu kibaya esp ktk issue kama hii. Na pia kutokusoma trend ya matukio ni kujitoa akili. Pia ukweli huonekana, sio tu kwa Zitto ndani ya chadema lakini hata baadhi ya viongozi wapo wanaodhani wao ni zaidi ya chama.. Kwa nafasi ya naibu katibu wa chama akiwa katika mazingira ya chama any move or tamko linalotoka kwa Zitto lazma liwe la chama lakini wala haishangazi issue za zitto na matamko yake ni yake.

Perhaps Zitto ana matatizo ama ndani ya Chadema hawajatengeneza mfumo wa kitaasisi ambao mtu yoyote anaweza kuwa kiongozi bila kujitengenezea personal rewards ambazo zitto amekuwa akijitengenezea.
 
Always mimi nimekuwa nikimuonea sana huruma Zitto km wasanii wa Bongo fleva wanaouuza unga wa wakubwa sana basi hupigiwa upatu sana....Zitto aliingia ghafla ktk siasa wakati CDM walikuwa na wabunge wachache na hivyo kumtumia ktk majukumu mengi....kilichoniudhi ni huyu kijana hakutaka jielewa uwezo wake na wapi chama kilikuw akikimbeba ili aongeze jitihada sana kufunika mapungufu yake.Hata wacheza mpira professionals huwa na namna nyingi sana ya kuziba mapungufu yao.

Ben Saanane in big time more smarter than Zitto, badala ya Zitto kulijua hilo na kumaliza mapungufu yake kwa kushirikiana na wengine ili wampe ushirikiano wa kumjenga alikuwa Busy kumchafua Ben, just because alidhani kuwa Popolarity alijipatia kwa CDM na Magamba ingeweza msaidia kummaliza Ben in Public.

Namsikitikia sana na nawasikitikia watakaokwenda fundishwa na Zitto, kwa jinsi alivyo biased, kwa jinsi alivyo na personality problem, kwa jinsi alivyo logwa na mitizamo ya Haroub Othman, mitizamo ya Lipumba.Tutaona replica nyingine ya Lipumba na Haroub Othman, tutaona product nyingine mbovu kutoka vyuo vyenye wasomi wanaoshikiliwa na vyeti na siasa za makundi fulani nyuma yao.

alikua busy kumuita mwenzie kirusi na alipovujisha barua ya katibu mkuu alimlenga ben.

hivi kesi ya mama yake kusema alivamiwa na vijana wenye bastola na kuwatambua kuwa ni wanachama wa chadema imeishia wapi?
 
Naona Chadema Kaskazini saizi ni furaha tu, habari njema kwao.

Vile vile Zitto, kutokuwepo kwenye wagombea ubunge ni pigo kubwa kwa Chadema ataondoka na kura zake.

Zitto, alikuwa ana balance chama kutokuwepo kwake ndiyo safari ya Chadema kupotea kwenye medani ya siasa.

Chadema sasa kitabaki kuwa chama cha Kaskazini, ndoto za kina Nassari zimetimia.

Kwa Maelezo yako inaelekea unaikubali CDM lkn ndio vile..Huna namna..Mkate uko CCM..
 
Last edited by a moderator:
Huyu Zitto ata Akitoka Cdm ni Sawa tu maana yeye na Shibuda wanatusumbua sana ndani ya chama!
 
Always mimi nimekuwa nikimuonea sana huruma Zitto km wasanii wa Bongo fleva wanaouuza unga wa wakubwa sana basi hupigiwa upatu sana....Zitto aliingia ghafla ktk siasa wakati CDM walikuwa na wabunge wachache na hivyo kumtumia ktk majukumu mengi....kilichoniudhi ni huyu kijana hakutaka jielewa uwezo wake na wapi chama kilikuw akikimbeba ili aongeze jitihada sana kufunika mapungufu yake.Hata wacheza mpira professionals huwa na namna nyingi sana ya kuziba mapungufu yao.

Ben Saanane in big time more smarter than Zitto, badala ya Zitto kulijua hilo na kumaliza mapungufu yake kwa kushirikiana na wengine ili wampe ushirikiano wa kumjenga alikuwa Busy kumchafua Ben, just because alidhani kuwa Popolarity alijipatia kwa CDM na Magamba ingeweza msaidia kummaliza Ben in Public.

Namsikitikia sana na nawasikitikia watakaokwenda fundishwa na Zitto, kwa jinsi alivyo biased, kwa jinsi alivyo na personality problem, kwa jinsi alivyo logwa na mitizamo ya Haroub Othman, mitizamo ya Lipumba.Tutaona replica nyingine ya Lipumba na Haroub Othman, tutaona product nyingine mbovu kutoka vyuo vyenye wasomi wanaoshikiliwa na vyeti na siasa za makundi fulani nyuma yao.

Mkuu una chuki dhahiri na zitto kabwe, jipange, utakufa kwa presha na kubaki na umaskini wa mali, akili na roho dhaifu

Nenda kwa mbowe sasa hivi, nenda kwa mtei sasa hivi, nenda kwa sugu, mdee, mnyika name it waulize Zito ni nani ni ni nini ilikuwa nafasi yake katika ukuaji wa hawa wanasiasa na cdm!! you will be amazed kusikia Mbowe atamwongelea Zito very very positively

1. vijana wengi wa udsm walivutwa na zito na wenzake
2. CDM imechomoka na kupaa kwa saisa za akili, mikakati na hoja kali za akina zitto

zitto sio msomi tu, but master minder na ka wakili zako unaona ukiandika hatred basi umemuumiza yeye!!

hater!!! hutamfikia zitto wewe na ukoo wako wowote ule, utaishia kutuma post humu na chuki, mwenzako anapaa na kubadilisha magari,

anaondoka sasa, bado una chuki? alikuwemo cdm ulimchukia, hata leo anaondoka??? ha aha haaaaaa, ama kweli wewe binadamu wa ukweli , duuh!

si mlikuwa mnasema zitto aondoke?? anaondoka sasa tena unasema utashangaa hao wanafunzi.....!!!

sema unataka akafanye kazi gani? au unampangia nini??

looser
 
kuna mwasiasa mkweli?
huyo atarudi tu aseme kashawishiwa na kuombwa na wananchi wake agombee tena.
ndio siasa zilivo.
hata madam spika atarudi hivo hivo,,
wanasiasa nawaona wote wanafiki hakuna mkweli.
 
'Nicolas kwa nini Zito tu awe biased na si wewe? Nadhani jichunguze nawe. Nadhani tatizo kubwa kwetu ni kuwaona wenzetu ni tatizo pasipokujiangalia kwa kina endapo nasi hatuko sehemu ya hilo tatizo.

Haha......hata mwizi huona kila kila mtu , kuanzia mahakama, polisi na etc wapo biased againt him.....Tofauti ni biasness gani unaongelea.Nadhani umenielewa.

Zaidi ya hapo ningekupa jibu rahisi..yupo biased kwa vile ndivyo alivyo, na mimi nikiwa baised sina madaraka ambayo maamuzi yangu biased yatawa affect wengine.
 
"Looking in the wall street journal for your face but its always absent.."

Upambe na njaa zitakuua bwana mdogo,thread za kipuuz kwamba vipi unawadharau hawa wote wanaochangia na kusoma huu uzi kuwa ni wapuuzi??

Mods walioamua kuuacha huu uzi ili watu waje kujadili na kukosoana ni wapuuzi??

I think mpuuz utakuwa ni wewe unaedhani kwa kuwa kimbelembele na kuwa mpambe,usie na mbele wala nyuma basi unaweza kujenga status na strong identity,pole sana

Unajua nini wewe mchumia tumbo,"YOU WILL BE KILLED NOT FOR YOUR HUNGER,BUT YOU WILL BE KILLED BY YOUR HUNGER"

Must be so so crazy,stupid & dumb,you cant move even your own block..!

Who the hell are you?

Wewe nawe kama mwanamke wa kwenye madanguro.Hiyo statement fupi ya ben Saanane kwamba hataki kuitwa kwenye mijadala ya kipuuzi ndiyo imekupelekea kuropoka yote hayo?kuwa mstaarabu tu.Huoni kauli zako hizi ndiyo zinaipa uzito hiyo sentensi ya ben hapo juu kuwa ni mjadala wa kipuuzi maana wewe ulichoandika hapo ni upuuzi.Kama alikugongea mke si mkamalizane huko mtaani?

Hii mada ya kumjadili Zitto haina tija.Kama atagombea au hagombei sio ishu kwetu.upinzani jipangeni sisi tunaendelea kupanga na kutekeleza sera na ilani tukutane 2014/15
 
Back
Top Bottom