Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

furaha kubwa sana kwa dr na mwenyekiti wa miaka yote
 
alikua busy kumuita mwenzie kirusi na alipovujisha barua ya katibu mkuu alimlenga ben.

hivi kesi ya mama yake kusema alivamiwa na vijana wenye bastola na kuwatambua kuwa ni wanachama wa chadema imeishia wapi?

Haha.... nadhani....keshagundua kuwa kiongozi ukiwa unakurupuka kujibu kila neno badala ya kusubiri habari kabili imalizike, then kila baada ya sentensi moja utakuwa ,unaswing sana hadi wanaokutazama wanakuona kuwa kituko na si kiongozi wa kufuata.



Hizo ndizo tofauti za viongozi na komedian ktk jukwaa lilele.....ZITTO ALICHGUA ROLE YA ZE KOMEDI.PONDA,LIPUMBA KILA MAHALI,WENGINE WALICHAGUA ROLE ZA VIONGOZI. Walisikilia na kuangali vitu hadi mwisho na vilipofika mwisho wakawa na hakika ya walichofikiri na maamuzi yao yakawa yenye kuonyesha ukomavu.
 
Naona Chadema Kaskazini saizi ni furaha tu, habari njema kwao.

Vile vile Zitto, kutokuwepo kwenye wagombea ubunge ni pigo kubwa kwa Chadema ataondoka na kura zake.

Zitto, alikuwa ana balance chama kutokuwepo kwake ndiyo safari ya Chadema kupotea kwenye medani ya siasa.

Chadema sasa kitabaki kuwa chama cha Kaskazini, ndoto za kina Nassari zimetimia.

I see and feel your desperation taken away by Zittos frustrations.Si mngemshauri mapema kuwa uvumilivu kwa kiongozi ni muhimu sana kwani matamko ya hovyohovyo yaliyojaa adrenaline huwa ni ngumu sana kuyarudisha.Na waliowekeza kwake ni km waliojenga nyumba juu ya mchanga pasipo msingi wakategemea itavumilia majanga.Na kuhakikisha usalama na heshima yao.
 
You are great thinker! uzi mzuri wa kupima akili za watu na milengo yao. Hata hivyo inaweza kuwa ni uamzi mzuri sana....siasa za Tanzania 2015 ngumu kama jiwe ila walio kama maji ndo watashinda.

Tuko pamoja kaka vyama ni vya mashabiki ila Tanzania ni ya wazalendo pamoja na wapenda siasa. Tulipofika sasa kila kitu lazima kiangaliwe kwa undani uliosababisha na sio mwangwi uliosikika haswa tunaposhughulika na wanasiasa!!!!

Wakitambua ufahamu wetu hatutakuwa na kazi ya kusubiri wakati wa uchaguzi ili kusikiliza sera.Sasa ufahamu wa kweli kuuingiza vichwani mwa watu ni kazi ngumu kuliko kupanda jukwaani na kusema yawapendezayo
wasikilizaji!!!!

Tunakazi ngumu ila inafanyika
 
Hivi raisi ni mwanasiasa ama mtendaji?

Hivi mtu akimaliza uwaziri ataweza kugombea uraisi?

Sielewi bada ya hapo maraisi wajao tutawa-recruit kutoka kwa wabunge au mawaziri?
Akiwa waziri ambaye hajawahi kuwa mwanasiasa kabisa, tutajuaje uwezo wake kisiasa? Na akiwa mbunge tu ambaye hajawahi shika wizara, tutajuaje utendaji wake na maamuzi yake?


ndo maana yake...nawashauri hata kina lisu,mnyika,msigwa,lema,nasra,sugu,mdee waachane na ubunge,wasubiri kuja kuwa mawaziri,japo tena ccm ikishinda itakuwa imekula kwao.
 
Ninawasikitikia sana vijana wenzangu wa nchi hii, kwakweli ni aina ya vijana ambao hawaamini kuwa hawaamini wanachokiamini,

Mtu yeyote anaweza kuwageuza akili zao vyovyote apendavyo,

Namshukuru sana kamanda mwenzangu Ben Saanane kwa kusimamia nakuiishi imani yake bila kutetereka,

Niliwahi kuandika na ninatembea nakuishi katika imani hii kuwa Zitto Kabwe Naibu Katibu wangu wa Chadema ni "Mnafiki" namba moja kati ya wanafiki wote nchini wanaoishi kwa siasa!

Haya hapa chini yataishi na kutembea kichwani na moyoni mwangu daima!


Hebu Njoo utuombe Radhi hapa,

Hivi ni nani anadeserve kusikitikiwa baina yetu sisi kama vijana na kijana wa sampuli yako na hao wenzako??

Give us a break,hivi mbona unajisahau sana,kaa ukitambua kwamba kwa hakika miongon mwa watu mnaodharaulika humu ndan kwa kupenda ujanja ujanja na upambe basi vinara ni wewe na mwenzako saa nane,

Ni watu ambao sisi kwa lugha ya kimombo tunawaita "NAME DROPPERS"

Watu wa sifa na majivuno,na wakutakata kujenga status na identity zisizo zenu,na kupenda penda sana kushabikia migogoro na uchonganish na kujiona kama nyinyi mna la maana na msingi sana hasa kwenye harakati za mabadiliko na kisiasa,hebu tuambie,umefanya nini kikubwa cha kukutambulisha kwamba unaweza ukasimama na kusema kwamba uko smart enough na kuja kumsema zitto ni traitor na anaua chama??

Mara ngapi watu kama Tumaini Makene,wanasimama na kuwaasa wanachama wake na watu njaa kali mfano wewe na ben saa nane kuacha kulamba lamba buti za viongoz wa juu wa chadema na kufitinisha pasi na sababu za msingi??

Hebu tuambie,we ni nani hasa ndan ya chadema,umefanya nin cha msingi na kujivisha mamlaka ya kuja kusema sema na kukosoa watu waliopigania chama??

Kama ulifikia hatua ya kuongopea NASABA na kujiweka ndan ya familia ya JULIUS KAMBARAGE NYERERE NA KUJA KUJIVERIFY HAPA JUKWAANI ILI UFANYE UTAPELI,utakuja vipi kusimama na kusema uko smart na unawaonea wenzako huruma na simanzi??

Ingekuwa kama sio sisi na baadhi ya wanaJF kuuhoji unasaba wako na kukutaka uukane unyerere na ueleze uhalisia wako wangapi wangeendelea kutapeliwa na wewe??

Ukiwa muongo ujifunze kuwa na kumbu kumbu,kuna kipindi ulikuja hapa na kuongoapa kwamba wewe ni CEO wa kampuni uliepata elimu yako sijui collge gani huko beijing china,kumbe ni fundi mchundo tuh,

Haya sasa leo unakuja kuongopa hapa kwamba elimu yako umeichukulia MOSCOW RUSSIA??,NANI anahaja ya kukujua??wewe unaweza zijua CV's za watu humu jukwaani??eti "Pro Wangu Radav Metbarg" hizo ndizo kasumba za Name Droppers walivyo,.huwa hupenda sana kujikweza kweza na kutaka kuonesha kwamba wamepitia hapa,,na wana hiki na hiki ili hali ni njaa kali tuh,

Mwenzako mchumia tumbo mwenzako atakuja hapa na yeye kujigamba na elimu zake alizozichukua INDIA huko,anatembea kifua mbele eti na yeye anatamba kwamba ni msomi na ana status ndan ya taifa hili,

Sikiliza wewe njaa kali na mwenzako yule mkaanga sumu,

Sahau kuhusu Zitto,sio mwenzenu,kazi aliyoifanya chadema ni kubwa na watu wanaiona na hata viongoz wenzake wanaiona,jaribun kuish maisha yenu na kutengeneza identity zenu,

KUJA HAPA KUCHAFUA CHAFUA WATU NA KUDHANI HILO LITAWAPA STATUS NA IDENTITY MMEFELI,

Na kila mwenye akili timamu hawez kupoteza muda wake kuwazingatia watu hopless kama nyinyi,

Kama mlikuwa mnalala na kuota kwamba ipo siku moja mtaweza kjuingia kwenye viatu vya Zitto kwa akili zenu za vichwa maji kama hizi ni vema mkatoka vitandan na kuja kuomba radhi wazi wazi,

Njaa kali nyinyi
 
Last edited by a moderator:
Hitimisho lako ni zito sana, una ushahidi wowote kwamba hivi ndivyo alivyo, au ndio mtindo huohuo wa hisia kuzibadilisha kuwa kweli? Wazungu wanasema: 'we suspect in others what we feel in ourselves'. Yaani wakati mwingine binadamu huwa tunawaza kitu fulani akilini mwetu na kujiona sisi tulivyo na kudhani na kujiaminisha kwamba hivi ndivyo walivyo watu wengine. Angalia ndugu yangu usije ukawa hivyo ulivyo ukadhani na wengine ndivyo walivyo!!
Heshima yako mkuu Kitila Mkumbo,

Leo umenistua kidogo wewe kuchangia kwa mtindo wa kukemea mtu anayetoa mawazo yake huru kabisa, yawe +ve au -ve, kwa level na kiwango chako cha elimu ulichotakiwa ni kuja na ushahidi wa kuwa Zitto kafanya 1 2 3 katika kukijenga chama vinginevyo nachukulia ulichojibu (comment) hakina tofauti na wanachokifanya Lumumba team akina HAMY-D na wenzake.

Kitila ni mara ngapi sisi kama sisi wapenzi wa Chadema (sixgates) tunapambana na kuwatetea viongozi wetu M/kiti Mbowe, Dr. Slaa na Chadema kwa ujumla pindi watu wa (B7) wanapoleta story za uzushi na hujawahi kuja kutukemea?

Elewa sisi wanachama na wapenzi sio wajinga wa kutoona kinachofanywa na viongozi wetu wa juu, tunajua nani anafanya nini kwa lengo gani na maslahi gani, kwa hiyo tuna kila sababu ya kusema kama anavyofanya sixgates vinginevyo tutakuwa na uoga kama wa wenzetu wanaolishwa maneno ya kuzungumza hata kwenye masuala muhimu ya Katiba.
 
Hitimisho lako ni zito sana, una ushahidi wowote kwamba hivi ndivyo alivyo, au ndio mtindo huohuo wa hisia kuzibadilisha kuwa kweli? Wazungu wanasema: 'we suspect in others what we feel in ourselves'. Yaani wakati mwingine binadamu huwa tunawaza kitu fulani akilini mwetu na kujiona sisi tulivyo na kudhani na kujiaminisha kwamba hivi ndivyo walivyo watu wengine. Angalia ndugu yangu usije ukawa hivyo ulivyo ukadhani na wengine ndivyo walivyo!!

Sasa mheshimiwa...km hayo yamesemwa na Mzungu na si na mtaalamu, ni wazi kuna "cultural elements".... , je ni kweli yana uhasilia kwetu...?

Huwa nacheka sana....sana nilikiavyo "Zimwi likujualo halikuli ukaisha", "mnyonge mnyongeni haki yake mpeni"...kwa haraka yanaweza onekana yana maana..ila ukwei hayana maana kabisa haya maneno....

Ungeongeza intelligence kidogo ili iwe real zaidi, km huyu jamaa hajaweza tengenisha feelings,fikra zake na uhalisia kwa kiasi fulani then ataendana na uliyosema, ila km kaweza ni wazi ya huyo mzungu hayana maana.Kwanini basi usipeleke ktk point ujumbe wako,huku ukimpa namna ya yeye kutenganisha hisia,fikra na uhalisia wa mambo.Huwezi hukumu kwa" general decription ya mambo".
 
CDM watakuja kujua umuhimu wa Zitto baadaye. Zitto ni jembe sana ndani ya CDM Hana siasa za maji taka Kama akina Lissu, Lema na Sugu. Hakuna asiyejua mchango wa Zitto kwa CDM. Hawa vijana akina Lema hawajengi CDM Bali wamekidhoofisha sana chama kwa siasa zao za maji taka. Pumzika kaka pumzika Zitto

Zito kabwe ni jembe ila amekuja kubadilika akawa jembe pandikizi la CCM,, halafu ni mnafiki, nakumbuka kashfa ya richmondi alikuwa mtu wa kwanza kuiponda,,lakini baadaye akanunuliwa na mafisadi akaanza kuwatetea,,nilimfuatilia kwa makini sina hamu naye kabisa
 
Haha.... nadhani....keshagundua kuwa kiongozi ukiwa unakurupuka kujibu kila neno badala ya kusubiri habari kabili imalizike, then kila baada ya sentensi moja utakuwa ,unaswing sana hadi wanaokutazama wanakuona kuwa kituko na si kiongozi wa kufuata.



Hizo ndizo tofauti za viongozi na komedian ktk jukwaa lilele.....ZITTO ALICHGUA ROLE YA ZE KOMEDI.PONDA,LIPUMBA KILA MAHALI,WENGINE WALICHAGUA ROLE ZA VIONGOZI. Walisikilia na kuangali vitu hadi mwisho na vilipofika mwisho wakawa na hakika ya walichofikiri na maamuzi yao yakawa yenye kuonyesha ukomavu.


Let the traitor go.Labda watasaidina na Dennis Msacky kufundisha usaliti au atashirikiana na mlinzi wake anamyemlinda kwa majini katika taaluma ya ndumba.Mtu aliyekua amejiandaa kikamilifu kuhakikisha Mnyika na john Mrema hawapati ubunge 2010.Aliposhirikiana na Dewji kumhujumu josephati Issango kule Singida na pia akashirikiana na Nimrod Mkono kule musoma ili kijana aliyegombea kupitia CHADEMA ajitoe na alijitoa kweli.Wenje aliponea chupuchupu kwa sababu ya hujuma za huyu dogo.Kumbe alikua na mipango yake ndiyo maana juzi alitaka chadema kimtose Lwakatare ili akihukumiwa chama kifutwe.Hadi muda huu anashirikiana kwa karibu na akina mchange badala ya kushirikiana na vijana ndani ya chama chake.Kwa bahati mbaya chadema kina wasomi na wenye uwezo.Yeye hataki kuona robust ya chama na hataki kabisa kuona vijana wenye uwezo wakiingia ndani ya chama labda wawe upande wake ili awatumie kwa maslahi yake kama akina kafulila na akina mchange.
 
haha..psychopathic huyu Zitto hajamaliza Drama...hadi siku ataibukia ikulu km Ray-C. Akitaka Hurum aya Umma km sijui mwanzilishi wa upinzani na drama nyingine za waomba bia au fadhila.

nakuheshimu sana nicholas. futa hii kauli. tusitumie vibaya kozi za saikolojia. zitto ni kiongozi katika chama makini. hivi karibuni nimepata ushahidi ni mzima, anazo akili timamu baada ya kumsikiliza mara kadhaa akiongea. niliwahi kumchambua kwa mtizamo huo wa kwako awali lakini kuna ushauri tulimpatia humuhumu JF -- naamini na maeneo mengine pia watu walimshauri--alisikiliza ushauri ule. Tulikuwa tunamshauri kufanya hili ambalo katangaza hapa.

Wewe unaona psychopath kwenye hii akili nzuri? Futa kauli aise....

Kisiasa uamuzi huu pia ni sahihi. Katika siasa ni vizuri uchague wewe wakati wa kutoka. Na wakati mzuri ni pale unapokuwa bado unakubalika. Hilo linakupa nafasi ya kurudi baadaye. So let him go. Ni mpango mzuri. Hakuna psychopath hapo.... Mi naona busara hapo. The boy is OK!
 
A twist of the tongue.... only few we'll be able to understand this...... come the day when words will match the deeds... as for me.... I'm out...!

I agree with you. But we have to remember that there is a thing called political mathematics, and we also have to remember that a man is a political animal. Lolote linaweza kutokea anytime, kwa hiyo kwanza ni vizuri kuheshimu kauli ya Zitto, hata kama itatuuma. NI kijana ambaye anafaa kwenye siasa zetu, hata kama kuna wakati tunapingana naye, lakini the fact is kwa mtu kama Zitto kujitoa so soon kwenye siasa za Tanzania ni jambo baya kwa Tanzania.
 
nakuheshimu sana nicholas. futa hii kauli. tusitumie vibaya kozi za saikolojia. zitto ni kiongozi katika chama makini. hivi karibuni nimepata ushahidi ni mzima, anazo akili timamu baada ya kumsikiliza mara kadhaa akiongea. niliwahi kumchambua kwa mtizamo huo wa kwako awali lakini kuna ushauri tulimpatia humuhumu JF -- naamini na maeneo mengine pia watu walimshauri--alisikiliza ushauri ule. Tulikuwa tunamshauri kufanya hili ambalo katangaza hapa.

Wewe unaona psychopath kwenye hii akili nzuri? Futa kauli aise....

Kisiasa uamuzi huu pia ni sahihi. Katika siasa ni vizuri uchague wewe wakati wa kutoka. Na wakati mzuri ni pale unapokuwa bado unakubalika. Hilo linakupa nafasi ya kurudi baadaye. So let him go. Ni mpango mzuri. Hakuna psychopath hapo.... Mi naona busara hapo. The boy is OK!

Mtu mwenye akili timamu anamini katika ushirikina kuliko quran au biblia au sayansi?
 
Heshima yako mkuu Kitila Mkumbo,

Leo umenistua kidogo wewe kuchangia kwa mtindo wa kukemea mtu anayetoa mawazo yake huru kabisa, yawe +ve au -ve, kwa level na kiwango chako cha elimu ulichotakiwa ni kuja na ushahidi wa kuwa Zitto kafanya 1 2 3 katika kukijenga chama vinginevyo nachukulia ulichojibu (comment) hakina tofauti na wanachokifanya Lumumba team akina HAMY-D na wenzake.

Kitila ni mara ngapi sisi kama sisi wapenzi wa Chadema (sixgates) tunapambana na kuwatetea viongozi wetu M/kiti Mbowe, Dr. Slaa na Chadema kwa ujumla pindi watu wa (B7) wanapoleta story za uzushi na hujawahi kuja kutukemea?

Elewa sisi wanachama na wapenzi sio wajinga wa kutoona kinachofanywa na viongozi wetu wa juu, tunajua nani anafanya nini kwa lengo gani na maslahi gani, kwa hiyo tuna kila sababu ya kusema kama anavyofanya sixgates vinginevyo tutakuwa na uoga kama wa wenzetu wanaolishwa maneno ya kuzungumza hata kwenye masuala muhimu ya Katiba.

Kwani kitila mkumbo na zitto lao si moja?Si tuliambiwa humu kuwa wao ndiyo waliokua katika alliance ya PM-7 yaani Pindua Mbowe ili Zitto awe Mwenyekiti na yeye awe katibu mkuu?Taratibu anajitokeza tu ili ujue mungu hamfichi mnafiki
 
Mkuu una chuki dhahiri na zitto kabwe, jipange, utakufa kwa presha na kubaki na umaskini wa mali, akili na roho dhaifu

Nenda kwa mbowe sasa hivi, nenda kwa mtei sasa hivi, nenda kwa sugu, mdee, mnyika name it waulize Zito ni nani ni ni nini ilikuwa nafasi yake katika ukuaji wa hawa wanasiasa na cdm!! you will be amazed kusikia Mbowe atamwongelea Zito very very positively

1. vijana wengi wa udsm walivutwa na zito na wenzake
2. CDM imechomoka na kupaa kwa saisa za akili, mikakati na hoja kali za akina zitto

zitto sio msomi tu, but master minder na ka wakili zako unaona ukiandika hatred basi umemuumiza yeye!!

hater!!! hutamfikia zitto wewe na ukoo wako wowote ule, utaishia kutuma post humu na chuki, mwenzako anapaa na kubadilisha magari,

anaondoka sasa, bado una chuki? alikuwemo cdm ulimchukia, hata leo anaondoka??? ha aha haaaaaa, ama kweli wewe binadamu wa ukweli , duuh!

si mlikuwa mnasema zitto aondoke?? anaondoka sasa tena unasema utashangaa hao wanafunzi.....!!!

sema unataka akafanye kazi gani? au unampangia nini??

looser

Nadhani unanitazama kwa kengeza.....


NIlikuwa nampenda sana Mbwa wangu hadi siku nilipokuja gundua na ana kichaa na alikuwa akitaka nishambulia.Mbwa huyu ndie yule aliyeniokoa kwa kuwafukuza watu wabaya walitembelea my house.Baada ya kumuua, ndipo nikaambiwa alishambulina na Nyani siku moja ndipo alipopata kichaa.

So kwa haraka kukusaidia ni kwamba no matter what...unapoamua au kujikuta unafanya vitu dangerous ni ngumu sana kuishi kw aku blackmail wengine.......Zitto hawezi blackmail CDM au wanachama wake kwa claims km zenu na Yeye....mambo aliyojiingiza nayo yalitoa saana maana ya alichofanya, na pia akazidi kuwa enemy of the party akawa mpinzani wa party.Sijui alitaka iga marapa wa kimarekani na "Bifu zao"?
 
Vijana wengi wa kitanzania
ni wajinga, naona wimbi la vijana hapa JF wakidhihirisha ujinga. Zitto
mwenyewe kama kasema kuwa hatagombea urais basi nae namweka kwenye kundi
la wajinga.

Sielewi. Kwani Zitto hata akiutaka urais hawezi kugombea 2015 katiba
haimruhusu, na pia hata km katiba haimruhusu kabla yaa kutoa dhamira
atambue ktk chama kuna mchakato wa kumpata mgombe urais (wapo wengi
chadema).

Ukiona mtu anaimba hii chorus ya Zito kusema hatagombea urais ni alama
ya ujinga. Ni sawa na Juliana shonza, au mtela aseme nimeahirisha 2015
sitagombea urais. Alafu wewe unaanza kujenga hoja kuhusu hiyo kauli na
unasikitika while in a real sense hata wangetaka wasinge weza sababu ya
umri.

Zitto amegundua katiba mpya haitamfavor na pia amepoteza ile catch
aliyokuwa nayo, siyo vibaya akapumzika labda (aje kuwa waziri km katiba
itaruhusu ndicho anachowaza maana rasimu inaonesha mawazir hawatatokana
na wabunge).

Zitto hana tofaut na JK. Anapenda kufanya movement within institution in
the end apate reward yeye mwenyewe, na aonekane yeye ndio don. Kama
jambo halimpi sifa yeye binafsi hawezi kulifanya (ubinafsi na sifa)

Ana tabia ya usaliti. Sasa hapa ni tabia ya watu wa kigoma (wild
kaborou, nsanzugwanko, david kafulila)..hata tafuta mtu wa kigoma hapo
ulipo wana asili ya kutait.


Pia sio msaada ndani ya cdm..ikumbukwe 2010 wakati wanamnadi Slaa yeye
anajinadi kuwa atagombea urais, wakati wenzake wanapambana na wizi wa
kura yeye anapigiana simu na Jaki zhoka, wakati wenzake wanalounch M4C
yeye yupo na akina Ben sanane,akina juliana shonza wanajenga mikakati ya
kumpindua mbowe, wakati wenzao wanaamsha maandamano yeye yupo na
cloudsfm anaongea dili na ruge kuanzisha kampuni ya PERA ringtones.

In short Zitto ndani ya chadema hana lolote watu ambao wanakijenga chama
wanajulikana. Zitto nadhan anajua kucheza na akili za watanzania
wajinga ila sio mimi.

well said, I can see reality on this.
 
Sioni kama ni kosa na sintajutia maamuzi yake kama hayatakua na chembe ya hila ,tuache kudhani bila Zitto hakuna Chadema kwani yeye ndio nani? Vp akifa maana yake ndio utakua ni mwisho wa Chadema ? Zitto fanya kilichoujaza moyowako kamanda .
 
furaha kubwa sana kwa dr na mwenyekiti wa miaka yote

Sidhani hata km wana hiyo furaha...kwani km ni kumjua kijana, kumsahuri etc wamefanya sana hadi pembe zinakuwa wanaziona,...sasa wafurahi nini?Kwani nani hajui hitimisho la "mla unga","mtoto mkorofi", soon tutamsikia kaibukia Lumumba......

Mimi kwa kiasi nimefurahi ila pia nawasikitia wale watakaompokea au kuwa kufundishwa nae..sijui atawafundisha yepi..?Ya Lipumba si nae ni mchumi?au ya kwake ktk CDM, au taaluma ya uchumi wa kweli .
 
Back
Top Bottom