Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alikua busy kumuita mwenzie kirusi na alipovujisha barua ya katibu mkuu alimlenga ben.
hivi kesi ya mama yake kusema alivamiwa na vijana wenye bastola na kuwatambua kuwa ni wanachama wa chadema imeishia wapi?
Naona Chadema Kaskazini saizi ni furaha tu, habari njema kwao.
Vile vile Zitto, kutokuwepo kwenye wagombea ubunge ni pigo kubwa kwa Chadema ataondoka na kura zake.
Zitto, alikuwa ana balance chama kutokuwepo kwake ndiyo safari ya Chadema kupotea kwenye medani ya siasa.
Chadema sasa kitabaki kuwa chama cha Kaskazini, ndoto za kina Nassari zimetimia.
You are great thinker! uzi mzuri wa kupima akili za watu na milengo yao. Hata hivyo inaweza kuwa ni uamzi mzuri sana....siasa za Tanzania 2015 ngumu kama jiwe ila walio kama maji ndo watashinda.
ndo maana yake...nawashauri hata kina lisu,mnyika,msigwa,lema,nasra,sugu,mdee waachane na ubunge,wasubiri kuja kuwa mawaziri,japo tena ccm ikishinda itakuwa imekula kwao.
Ninawasikitikia sana vijana wenzangu wa nchi hii, kwakweli ni aina ya vijana ambao hawaamini kuwa hawaamini wanachokiamini,
Mtu yeyote anaweza kuwageuza akili zao vyovyote apendavyo,
Namshukuru sana kamanda mwenzangu Ben Saanane kwa kusimamia nakuiishi imani yake bila kutetereka,
Niliwahi kuandika na ninatembea nakuishi katika imani hii kuwa Zitto Kabwe Naibu Katibu wangu wa Chadema ni "Mnafiki" namba moja kati ya wanafiki wote nchini wanaoishi kwa siasa!
Haya hapa chini yataishi na kutembea kichwani na moyoni mwangu daima!
Heshima yako mkuu Kitila Mkumbo,Hitimisho lako ni zito sana, una ushahidi wowote kwamba hivi ndivyo alivyo, au ndio mtindo huohuo wa hisia kuzibadilisha kuwa kweli? Wazungu wanasema: 'we suspect in others what we feel in ourselves'. Yaani wakati mwingine binadamu huwa tunawaza kitu fulani akilini mwetu na kujiona sisi tulivyo na kudhani na kujiaminisha kwamba hivi ndivyo walivyo watu wengine. Angalia ndugu yangu usije ukawa hivyo ulivyo ukadhani na wengine ndivyo walivyo!!
Dr. Slaa na kambi yake sasa angalau wanaweza kupumua kidogo.
Hitimisho lako ni zito sana, una ushahidi wowote kwamba hivi ndivyo alivyo, au ndio mtindo huohuo wa hisia kuzibadilisha kuwa kweli? Wazungu wanasema: 'we suspect in others what we feel in ourselves'. Yaani wakati mwingine binadamu huwa tunawaza kitu fulani akilini mwetu na kujiona sisi tulivyo na kudhani na kujiaminisha kwamba hivi ndivyo walivyo watu wengine. Angalia ndugu yangu usije ukawa hivyo ulivyo ukadhani na wengine ndivyo walivyo!!
CDM watakuja kujua umuhimu wa Zitto baadaye. Zitto ni jembe sana ndani ya CDM Hana siasa za maji taka Kama akina Lissu, Lema na Sugu. Hakuna asiyejua mchango wa Zitto kwa CDM. Hawa vijana akina Lema hawajengi CDM Bali wamekidhoofisha sana chama kwa siasa zao za maji taka. Pumzika kaka pumzika Zitto
Haha.... nadhani....keshagundua kuwa kiongozi ukiwa unakurupuka kujibu kila neno badala ya kusubiri habari kabili imalizike, then kila baada ya sentensi moja utakuwa ,unaswing sana hadi wanaokutazama wanakuona kuwa kituko na si kiongozi wa kufuata.
Hizo ndizo tofauti za viongozi na komedian ktk jukwaa lilele.....ZITTO ALICHGUA ROLE YA ZE KOMEDI.PONDA,LIPUMBA KILA MAHALI,WENGINE WALICHAGUA ROLE ZA VIONGOZI. Walisikilia na kuangali vitu hadi mwisho na vilipofika mwisho wakawa na hakika ya walichofikiri na maamuzi yao yakawa yenye kuonyesha ukomavu.
haha..psychopathic huyu Zitto hajamaliza Drama...hadi siku ataibukia ikulu km Ray-C. Akitaka Hurum aya Umma km sijui mwanzilishi wa upinzani na drama nyingine za waomba bia au fadhila.
A twist of the tongue.... only few we'll be able to understand this...... come the day when words will match the deeds... as for me.... I'm out...!
nakuheshimu sana nicholas. futa hii kauli. tusitumie vibaya kozi za saikolojia. zitto ni kiongozi katika chama makini. hivi karibuni nimepata ushahidi ni mzima, anazo akili timamu baada ya kumsikiliza mara kadhaa akiongea. niliwahi kumchambua kwa mtizamo huo wa kwako awali lakini kuna ushauri tulimpatia humuhumu JF -- naamini na maeneo mengine pia watu walimshauri--alisikiliza ushauri ule. Tulikuwa tunamshauri kufanya hili ambalo katangaza hapa.
Wewe unaona psychopath kwenye hii akili nzuri? Futa kauli aise....
Kisiasa uamuzi huu pia ni sahihi. Katika siasa ni vizuri uchague wewe wakati wa kutoka. Na wakati mzuri ni pale unapokuwa bado unakubalika. Hilo linakupa nafasi ya kurudi baadaye. So let him go. Ni mpango mzuri. Hakuna psychopath hapo.... Mi naona busara hapo. The boy is OK!
Heshima yako mkuu Kitila Mkumbo,
Leo umenistua kidogo wewe kuchangia kwa mtindo wa kukemea mtu anayetoa mawazo yake huru kabisa, yawe +ve au -ve, kwa level na kiwango chako cha elimu ulichotakiwa ni kuja na ushahidi wa kuwa Zitto kafanya 1 2 3 katika kukijenga chama vinginevyo nachukulia ulichojibu (comment) hakina tofauti na wanachokifanya Lumumba team akina HAMY-D na wenzake.
Kitila ni mara ngapi sisi kama sisi wapenzi wa Chadema (sixgates) tunapambana na kuwatetea viongozi wetu M/kiti Mbowe, Dr. Slaa na Chadema kwa ujumla pindi watu wa (B7) wanapoleta story za uzushi na hujawahi kuja kutukemea?
Elewa sisi wanachama na wapenzi sio wajinga wa kutoona kinachofanywa na viongozi wetu wa juu, tunajua nani anafanya nini kwa lengo gani na maslahi gani, kwa hiyo tuna kila sababu ya kusema kama anavyofanya sixgates vinginevyo tutakuwa na uoga kama wa wenzetu wanaolishwa maneno ya kuzungumza hata kwenye masuala muhimu ya Katiba.
Mkuu una chuki dhahiri na zitto kabwe, jipange, utakufa kwa presha na kubaki na umaskini wa mali, akili na roho dhaifu
Nenda kwa mbowe sasa hivi, nenda kwa mtei sasa hivi, nenda kwa sugu, mdee, mnyika name it waulize Zito ni nani ni ni nini ilikuwa nafasi yake katika ukuaji wa hawa wanasiasa na cdm!! you will be amazed kusikia Mbowe atamwongelea Zito very very positively
1. vijana wengi wa udsm walivutwa na zito na wenzake
2. CDM imechomoka na kupaa kwa saisa za akili, mikakati na hoja kali za akina zitto
zitto sio msomi tu, but master minder na ka wakili zako unaona ukiandika hatred basi umemuumiza yeye!!
hater!!! hutamfikia zitto wewe na ukoo wako wowote ule, utaishia kutuma post humu na chuki, mwenzako anapaa na kubadilisha magari,
anaondoka sasa, bado una chuki? alikuwemo cdm ulimchukia, hata leo anaondoka??? ha aha haaaaaa, ama kweli wewe binadamu wa ukweli , duuh!
si mlikuwa mnasema zitto aondoke?? anaondoka sasa tena unasema utashangaa hao wanafunzi.....!!!
sema unataka akafanye kazi gani? au unampangia nini??
looser
Vijana wengi wa kitanzania
ni wajinga, naona wimbi la vijana hapa JF wakidhihirisha ujinga. Zitto
mwenyewe kama kasema kuwa hatagombea urais basi nae namweka kwenye kundi
la wajinga.
Sielewi. Kwani Zitto hata akiutaka urais hawezi kugombea 2015 katiba
haimruhusu, na pia hata km katiba haimruhusu kabla yaa kutoa dhamira
atambue ktk chama kuna mchakato wa kumpata mgombe urais (wapo wengi
chadema).
Ukiona mtu anaimba hii chorus ya Zito kusema hatagombea urais ni alama
ya ujinga. Ni sawa na Juliana shonza, au mtela aseme nimeahirisha 2015
sitagombea urais. Alafu wewe unaanza kujenga hoja kuhusu hiyo kauli na
unasikitika while in a real sense hata wangetaka wasinge weza sababu ya
umri.
Zitto amegundua katiba mpya haitamfavor na pia amepoteza ile catch
aliyokuwa nayo, siyo vibaya akapumzika labda (aje kuwa waziri km katiba
itaruhusu ndicho anachowaza maana rasimu inaonesha mawazir hawatatokana
na wabunge).
Zitto hana tofaut na JK. Anapenda kufanya movement within institution in
the end apate reward yeye mwenyewe, na aonekane yeye ndio don. Kama
jambo halimpi sifa yeye binafsi hawezi kulifanya (ubinafsi na sifa)
Ana tabia ya usaliti. Sasa hapa ni tabia ya watu wa kigoma (wild
kaborou, nsanzugwanko, david kafulila)..hata tafuta mtu wa kigoma hapo
ulipo wana asili ya kutait.
Pia sio msaada ndani ya cdm..ikumbukwe 2010 wakati wanamnadi Slaa yeye
anajinadi kuwa atagombea urais, wakati wenzake wanapambana na wizi wa
kura yeye anapigiana simu na Jaki zhoka, wakati wenzake wanalounch M4C
yeye yupo na akina Ben sanane,akina juliana shonza wanajenga mikakati ya
kumpindua mbowe, wakati wenzao wanaamsha maandamano yeye yupo na
cloudsfm anaongea dili na ruge kuanzisha kampuni ya PERA ringtones.
In short Zitto ndani ya chadema hana lolote watu ambao wanakijenga chama
wanajulikana. Zitto nadhan anajua kucheza na akili za watanzania
wajinga ila sio mimi.
furaha kubwa sana kwa dr na mwenyekiti wa miaka yote