Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho.
Zitto ameongezea kuwa kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200000 mpaka 300000 kwa mwezi wakati wabunge wanapokea kwa siku
What's 300, 000 wakati una uwezo wa kukodisha shangingi kwa miaka from one of the most expensive lawyers around -Nkono? Siasa inalipa jamani?
Mhe: Zitto amekana kutoa tamko hili.
Barua iliyotumika ni mawasiliano baina ya Mbunge na Ofisi ya Katibu wa Bunge mwaka 2011 ambayo haina muunganiko wowote na mchakato unaoendelea wa Bunge maalum la Katiba.
Thread will remain closed
Paw