- Kwanza atutajie majina ya wale walioficha hela nje ya nchi (kama alivyokuwa anadai anayo.....na akaipa serikali muda iwataje) ndio tumwamini na kuiamini dhamira yake!
- Pili, hata asipozichukuwa hizo posho, ni sawa tu, kwani hajaeleza (urari) wa fedha za walipa kodi alizowekewa ujerumani, ya kuwa ngapi zimebaki ngapi amezigawa nk!
- Kujitetea kwa kuwataja wapiga kura wake wa kigoma ni kama unafiki tu (attention seeker)...kwani hadi sasa amelisaidia vipi jimbo lake hasa mwananchi wa kawaida? Ziadi ya kutafuta sifa binafsi bungeni.....