ZITTO: Sitopokea posho ya 300,000 kwenye mbunge la Katiba

ZITTO: Sitopokea posho ya 300,000 kwenye mbunge la Katiba

Status
Not open for further replies.
Kati ya wanasiasa
wazalendo tanzania ambao bado wapo hai nadhani amebaki zitto pekee
wengine wote ni waganga njaa na wapo kimaslahi zaidi. Natamani siku moja
huyu mzalendo ashike nchi ili atuongoze kujenga taifa la
kizalendo
Wanaombeza ZZK ni"Empty stomach which is a bad Political Advisor"
 
Posho-Za-Vikao-Mhe-Zitto-Kabwe-II.jpg

Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho.
Zitto ameongezea kuwa kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200000 mpaka 300000 kwa mwezi wakati wabunge wanapokea kwa siku

Mkuu naomba maelezo ya hizo tarehe..hii barua mbona ni ya 2011???inatumikaje kwenye bunge hili la katiba??.Kuhusu kutopokea posho Zzk ana haki yake ya maamuzi ila its better angechukua akazipeleka jimboni kwake zichongewe madawati na viti.its just a proper utilisation ya hizi gawana gawana za wabunge
 
Amwambie na mama yake Shida Salum asipokee tuone UMWAMBA WAKE.

wahafidhina kwa unafki hamjambo - mamaye zito anahusikaje hapa?!
by the way mama yake zito c mbunge hivyo hahusiki ktk hili, we ulizia dj mbowe na zombie lema kama wanazipokea ama la?!
 
Posho-Za-Vikao-Mhe-Zitto-Kabwe-II.jpg

Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho.
Zitto ameongezea kuwa kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200000 mpaka 300000 kwa mwezi wakati wabunge wanapokea kwa siku

Hata mimi ningekataa ili ku seek attention lakini wakati huo najua nini nafanya.. 3.6bl sio mchezo mjue..!
 
wahafidhina kwa unafki hamjambo - mamaye zito anahusikaje hapa?!
by the way mama yake zito c mbunge hivyo hahusiki ktk hili, we ulizia dj mbowe na zombie lema kama wanazipokea ama la?!

Unajua unacho kinena wewe, au unatiririka tu ilimradi.!??
 
Ah! Msaliti anayejiita mdemokrasia, mpaka sasa hajui mambo aliyoyafanya yana madhara gani kwa wanakigoma; ni mwenye akili tu anaweza kuelewa.
 
Mkuu naomba maelezo ya hizo tarehe..hii barua mbona ni ya 2011???inatumikaje kwenye bunge hili la katiba??.Kuhusu kutopokea posho Zzk ana haki yake ya maamuzi ila its better angechukua akazipeleka jimboni kwake zichongewe madawati na viti.its just a proper utilisation ya hizi gawana gawana za wabunge

au akawalipe walimu anaosema wanalipwa kidogo. hii ni kutafuta political popularity
 
ata asipo pokea kitu haito ondoa taswira kuwa ni kiongozi mchumia tumbo na ni msaliti, ataendea kuwa hivyo.
 
Anatafuta pa kutokea!
Akatae basi na mshahara wa ubunge!
Awatumikie watanzania bure!

we kweli mngese, mshahara ni haki yake kama mtumishi mwingine yeyote yule.....so unataka asipokee mshahara ili aishije?!
wahafidhina mnaona wivu kwa sababu mabwana zenu mbowe na chi.zi lema wenyewe wanazilamba huku wakitudanganya watetezi wa wanyonge!!!!
 
Anapesa nyingi huyu kwani, maisha yake tu ni ushahidi, kwanini asipokee akawapa wananchi wa jimbo lake wakarabati shule au wachimbiwe visima?

sijui anawazaje zitto.. Ni janga lingine.. SI ANGECHUKUA AKAWAWEKEE BODA BODA WALE VIJANA WA MWANDIGA,, AU HATA AKAWABORESHEE WAVUVI WA DAGAA NETS...
ANA SHIDA KUBWA.
 
ana tafuta uruma na sifa....kwa nn asichukuwe iyo hela aipeke kwenye vituo vya watoto yatima wa kigoma.
 
Posho-Za-Vikao-Mhe-Zitto-Kabwe-II.jpg

Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho.
Zitto ameongezea kuwa kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200000 mpaka 300000 kwa mwezi wakati wabunge wanapokea kwa siku

Kwenye hili kama Zitto atalisimamia mimi nitaungana naye mkono maana haya si malipo ni kamarusha kwa wabunge kupindusha ukweli na kuacha kutupatia Katiba nzuri . Nampongeza Zitto kwa hili . CCM wanaiacha ikiwa masikini mno kisa Katiba .
 
Anajua fungu lake lipo CCM. Ana vyanzo vingi vya vipato ila havipo rasmi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom