Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zitto jangili hana tofauti na kinana
Anakataa wakati mama yake Shida salim atapokea?
ana tafuta uruma na sifa....kwa nn asichukuwe iyo hela aipeke kwenye vituo vya watoto yatima wa kigoma.
wa usalitizitto kabwe ni mtekelezaji
![]()
Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho.
Zitto ameongezea kuwa kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200000 mpaka 300000 kwa mwezi wakati wabunge wanapokea kwa siku
jangili ni mbowe anayelamba ruzuku ya chama kwa kuleta madeni feki ili alipwe................
Kwanini asipokee afu atupe mchanganuo wa hiyo hela kwenye madawati au madawa?
Watu wengine hawajui kama Mama yake Zito ni mjumbe wa bunge maalum la katiba
Watu wengine hawajui kama Mama yake Zito ni mjumbe wa bunge maalum la katiba
Teh teh mageti sita hapati posho tena..Raisi wa kigoma, ana ukwasi wa kutosha ndo maana anakataa posho
Haya tena lema yeye anasemaje kuhusu posho au anataka ziongezwe.
Wewe humfahamu Zitto, ni uzalendo gani unaongelea? Wa kuacha posho ya laki 3 na kulamba laki 4 kupitia PAC? Au kwa kukodi ndege Dar Arusha kwa mil 100?