ZITTO: Sitopokea posho ya 300,000 kwenye mbunge la Katiba

ZITTO: Sitopokea posho ya 300,000 kwenye mbunge la Katiba

Status
Not open for further replies.
300,000 ni allowance ya kukaa kwenye kikao hatakama hutachangia chochote. Hapo bado posho ya kujikimu yaani per diem.
 
MH huu sasa ni unafiki,apokei posho wakati ktk vikao vya kamati anavuta posho ndefu sana,ktk mialiko anapewa posho kubwa tu na bado analala hotel za 1m,...ah ah ah aha zkk we ni noma
 
Kwani asipopokea ndio kutakuwa na impact gani

Mil.27 zitakuwa zimeokolewa na zinaweza kusaidia kununulia madawa, atakuwa amedhihirisha kuwa ni mzalendo wa kweli na diyo wahafidhina
 
Huyu ni mweu na hana roho ya kusaidia kwann asichukue awapelekee mafukara wenyemahitaj ktk jimbo lake?
 
mbowe usiache kuchukua ,,
Mbowe chukua 21ml + mukya 21ml=42ml
Silaa chukua 21ml+rose kamail 21ml=42ml
Lisu chukua 21ml+dada yako 21ml=42ml
Juml kuu 126ml for three families.
Huku wapiga kura wanapiga miayo!
 
Posho-Za-Vikao-Mhe-Zitto-Kabwe-II.jpg



Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho.
Zitto ameongezea kuwa kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200000 mpaka 300000 kwa mwezi wakati wabunge wanapokea kwa siku

Nilikuwa nampenda sana Zitto ila naona anachanganyikiwa kabisa
 
Barua ya mwaka 2011 mnatuletea leo wakati inaleweka Zitto hapokei posho, au mnamtafutia umaarufu nini.?
 
Nani atafute umaarufu na mbunge wa mahakama msanii wa bongo mavi km wale wenzake walioenda mbeya kuwaadaa wachovu wenzenu
 
Kama sio kutafuta cheap popularity si azichukue tu halaf akejengee hata darasa 1 au chumba cha mwalimu, au akachimbe kisima huko kigoma!!
Mxiii!
 
Ulitakaje wewe wapokee wakupe weww kama umezoea kupokea nenda lumumba utapewa buku 7 acha ujinga tena jieshim huku jf
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom