ZITTO: Sitopokea posho ya 300,000 kwenye mbunge la Katiba

ZITTO: Sitopokea posho ya 300,000 kwenye mbunge la Katiba

Status
Not open for further replies.
Mil.27 zitakuwa zimeokolewa na zinaweza kusaidia kununulia madawa, atakuwa amedhihirisha kuwa ni mzalendo wa kweli na diyo wahafidhina

Wewe! Hela zinarudi kwa mafisadi huko ndio unasema zinaenda kusaidia kununua madawa!? Uzalendo wa kweli si ingekua achukue hio hela afanye mwenyewe hayo.
 
1392994051454.jpg
 
Je tumshinikize rais kwa maneno tu au watu waandamane?
Nyie ndo wahusika ambianeni ni jinsi gani hiyo posho inatosha.
 
Zitto ni kama ndege aitwaye kurumbiza, anachohuri sicho anachofanya, anawahimiza wenzake wakatae posho wakati yeye ana mabilioni aliyotengeneza katika mradi wa kuihujumu CHADEMA, wazalendo wa kweli wapinge nyongeza ya posho bila Zitto kujichomeka katikati yao. asitafute mahali pa kupumulia na kuwang'ong'a wenzake, huyo ni wa kuogopwa kama ukoma. wazalendo kaeni naye mbali ni kanjanja wa kisiasa
 
Msaliti anatafuta kik ya kutokea,

CHADEMA kilishatoa msimamo!!
 
Mtaweza kumshinikiza rais mara tu Watz mtakapoacha kulalamika mitandaoni na kwenda kwa vitendo!!!
 
Hakuna kijana kiongozi kijana nilikuwa ninamwani na kumpenda kama kama Zitto, lakini nilishtushwa na matendo yake na tamaa za mali hasa pale nilipoona namiliki magari aina ya HMMER na VOUGE, machale yalianza kunicheza na kujiuliza kapata wapi magari haya ya bei mbaya kijana huyu ambaye hana mradi wowote zaidi ya siasa? Sijakaa sawa, mambo yakawa hadharani kuhusu mabilioni ya kuihujumu CHADEMA yalivyotiririkia kwake. Hakika kuanzia pale amenitumbukia nyongo na nikisikia anahubiri kuhusu uzalendo, hujisikia kichomi cha ghafla
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom