ZITTO: Sitopokea posho ya 300,000 kwenye mbunge la Katiba

ZITTO: Sitopokea posho ya 300,000 kwenye mbunge la Katiba

Status
Not open for further replies.
alizopokea kwenye mashirika ya umma zinamtosha mnafiki mkubwa
 
Anatafuta pa kutokea!
Akatae basi na mshahara wa ubunge!
Awatumikie watanzania bure!
 
Watu wengine hawajui kama Mama yake Zito ni mjumbe wa bunge maalum la katiba
 
Zitto ni kiungo muhimu sana cha maendeleo katika kisiwa hiki cha Amani. Mungu akupe kheri !
 
Haya tena lema yeye anasemaje kuhusu posho au anataka ziongezwe.

Mbona unamuongelea sn lema au umempenda? Hiz posho ccm yako ndo imeongeza halafu unamfuata fuata lema, hujatosheka na nep
 
Bwana Mzigo mi naimbaaa..
Nitoke vipi eh...
Siku nyingi najiulizaaa
Niwapo mjengoni eeh!..Mpate kunielewa aah!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kati ya wanasiasa wazalendo tanzania ambao bado wapo hai nadhani amebaki zitto pekee wengine wote ni waganga njaa na wapo kimaslahi zaidi. Natamani siku moja huyu mzalendo ashike nchi ili atuongoze kujenga taifa la kizalendo
 
Anatafuta jinsi ya kuandikwa magazetini baada ya kuwa kaniki chafu kisiasa
 
Kati ya wanasiasa wazalendo tanzania ambao bado wapo hai nadhani amebaki zitto pekee wengine wote ni waganga njaa na wapo kimaslahi zaidi. Natamani siku moja huyu mzalendo ashike nchi ili atuongoze kujenga taifa la kizalendo
Ivi bado wewe ni dereva wa ile nissan ya ZITTO alopewa na MGUU MKONO?
 
"Attension seeker"ningemuona mzalendo wa kweli kama angekuwa anachukua hizo pesa alafu anafanyia maendeleo jimboni kwake lakini eti hachukui alafu zinabaki huko "wajanja"wanazitafuna huo ni UNAFIKI ...!
 
Kwa hiyo anataka na hao wengine wasilipwe,nazidi kuamini yale maneno "nafsi inaweza ikakataa posho ila ikachukua rushwa,vile vile nafsi inaweza ikachukua posho na ikakataa rushwa"
 
Mnaomponda Zitto wote mna matatizo upstairs na ndiyo maana kamwe hamueleweki ni nini mnachokiamini au kusimamia,Mmekuwa kama bendera fuata upepo vile na upepo wenu ni Mbowe.Posho ya shilingi 300000 kwa siku kwaajili ya kujenga Katiba ya CCM na siyo yetu sisi Wananchi tena wanalipwa posho nene zitokanazo na kodi zetu ni wizi wa mchana na ni dharau kubwa kwetu sisi Wananchi maskini.Hongera Zitto kwa kulitambua hili na asante kwa kutenda kile unachokihubiri.That's the way all honest politicians should behave.
 
ningemuona ana busara angechukua hizo laki 3 kwa siku 70 akakamata 21MIL halafu akaenda nayo jimboni kwake akaitumia yote bila kubakisha senti tano katika ununuzi wa madawati,madawa kwenye zahanati pamoja na mambo mengine ya kijamii then atoe huo ushahidi kwa vyombo vya habari.
kwangu mimi sioni kama ni busara kuziacha huko maana kama kuliwa zitaliwa tu na sisi wananchi hatutaziona.
nawasilisha.
 
Posho-Za-Vikao-Mhe-Zitto-Kabwe-II.jpg



Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho.
Zitto ameongezea kuwa kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200000 mpaka 300000 kwa mwezi wakati wabunge wanapokea kwa siku

Kama anahongwa mamilioni na akina Mkono kwakwe posho ya TZS 300,000/= si kitu. Hakuna uzalendo hapo. Ujinga tu na kutafuta kupewa attention na wajinga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom