Zitto: T249 CMV limemteka Nondo, mmiliki ni Deo Beda

Kwamba Police watasema registration halali ya gari wakijua laweza kuwa link? Mnawadharau sana hawa jamaa, wana akili!!!
 
Kwahiyo Polisi bado hawajamjua?
Watamjuaje sasa wakati watekaji ni wasiojulikana?

Unajua mantiki ya kutojulikana ni kwamba hata kama wangefahamika, lazima ifanyike namna fulani fulani ili kuondoa ufahamikaji huo.

Sijui unanipata?
 
Namba pengine zimetajwa na watu waliokuwa karibu. Hata hivyo ninavyojua mimi ''wasiojulikana'' wakati wanaenda kuteka huweza kuweka namba yoyote wanayotaka. Siyo ajabu ukasikia namba ya gari unayomiliki wewe imetajwa.
 
Zito aka ZZK naye aache utoto, hayo manamba huwa wanabandikaga tu hao jamaa, hata huyo Deo Beda unawezekuta hajui chochote.
 
Daah wahuni wameweka namba yeyote ili wateke mtu aisee mbaya sana hii kinachotakiwa ni raia kuwa na siraha za moto kama SA tu bila hivyo mtaisha wote kizembe maana watu wanakuja kukuteka wakijua hauna siraha yeyote ila ukiwa vitani hata akija mtu na nguo za kazi zao watwange risasi tu itajulikana huko mbele kuliko kwenda kufa kijinga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…