Zitto: T249 CMV limemteka Nondo, mmiliki ni Deo Beda

Zitto: T249 CMV limemteka Nondo, mmiliki ni Deo Beda

"T249 CMV aina ya Landcruiser rangi nyeupe"
Screenshot_20241201-153700_Android System.jpg
 
Kwamba Police watasema registration halali ya gari wakijua laweza kuwa link? Mnawadharau sana hawa jamaa, wana akili!!!
 
Mmmh ana uhakika gani kwamba hilo ndo gari lililomteka?

Saa nyingine polisi hufanya hivo ku spin uchunguzi.. waweza kuta hata gari ya watekaji ni T942EFD just kuwapa wrong signal wahusika na kurahisisha upelelezi ndo maana wameamua kutaja hilo gari kwenye taarifa yao
Namba pengine zimetajwa na watu waliokuwa karibu. Hata hivyo ninavyojua mimi ''wasiojulikana'' wakati wanaenda kuteka huweza kuweka namba yoyote wanayotaka. Siyo ajabu ukasikia namba ya gari unayomiliki wewe imetajwa.
 
Zito aka ZZK naye aache utoto, hayo manamba huwa wanabandikaga tu hao jamaa, hata huyo Deo Beda unawezekuta hajui chochote.
 
Daah wahuni wameweka namba yeyote ili wateke mtu aisee mbaya sana hii kinachotakiwa ni raia kuwa na siraha za moto kama SA tu bila hivyo mtaisha wote kizembe maana watu wanakuja kukuteka wakijua hauna siraha yeyote ila ukiwa vitani hata akija mtu na nguo za kazi zao watwange risasi tu itajulikana huko mbele kuliko kwenda kufa kijinga..
 
Back
Top Bottom