Zitto: T249 CMV limemteka Nondo, mmiliki ni Deo Beda

Ila kwa maana ya polisi ambao wengine wanaajiriwa ni form four failure, maana yake judgement yao ipo chini kiasi kwamba nashindwa kukupinga kwa asilimia zote kwamba polisi wanahusika.
 
Hawa wazalendo wa ZZK hawa waendelee na harakati zao za kusifia Joka la kijani na watoto wake
 
Magufuli alikuwa mpumbavu. Kushangilia kifo chake ilikuwa ni lazima. Mburumundu wewe.

Na hata yanayoendelea sasa muasisi wake ni huyu huyu Magufuli a.k.a jiwe mshamba wa Chato.
Mwambie ukweli huyu pimbi!
 
Reactions: G4N
Mkaza mwana wa Saa100, Yuko kwenye orodha ya magaidi na mtekaji WA raia wasio na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…