Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 529
- 1,150
Ila kwa maana ya polisi ambao wengine wanaajiriwa ni form four failure, maana yake judgement yao ipo chini kiasi kwamba nashindwa kukupinga kwa asilimia zote kwamba polisi wanahusika.Polisi wa Tanzania wafanye spinning kwa lipi wakati Hata wakikukamata wazi na kukuua hakuna wa kuwafanya kitu. Ali Kibao si aliuwawa na waliojiita polisi tena alitekwa hadharani why wafanye spinning? Wanamuogopa nani?
We kama unadhani ni rahisi, beba hata panga tu kamteke mtu pale Mbagala Zakheem uone kama utafika hata kizuiani!! Utashangaa umezingirwa na askari wa kutosha meaning hakuna jambazi anaweza teka watu hadharani hivyo kwa kujiamini hao ni polisi wenyewe.