Zitto: Taarifa ya TRA kukusanya trilioni 2 ni ya kubumba

Acha uongo wako hapa!Kwanza kumbuka mwenyewe alitamka kuwa hataongeza mishahara kwasababu anajenga reli na kugharamia miradi mingine.
 
Zitto Kabwe ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Twitter

“Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba...

Hahahaaaaa wanapata faida gani kudanganya umma?
 
2tilion kwa biashara gani au kwa kukwapua hela za watu bank?
 
Kwa hiyo hata kama takwimu zinazotolewa hazihakisi ukweli na pia ni zenye kutia shaka watu wenye uelewa wa kina na mambo ya kodi hawapaswi kutoa maoni yao!?
Kusema takwimu za " kubumba" ndio kutoa maoni bwashee?
 
Awamu ya tano watu wengi roho zinauma sana poleni. Ukweli ni kwamba TRA wangeweza kukusanya hata Trilioni kama wewe ungelipa kodi yakohakuna cha kushangaza hapo awamu zilizopita zilikuwa za wapigaji leo roho zinauma mwacheni ajimwambafai anakonga roho zetu sisi wanyonge hatuna cha kupoteza Viva Magu
 
Bwashee, takwimu zikichakatwa wadau wanaweza kuzipa jina lolote lile ili kuweza kufikisha hisia za kutokuridhika nazo. Kwa hiyo takwimu kubumbwa ni miongoni mwa maelezo ya hisia kama hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…