Hawali ? Hawanunui ?, Huyo muhemeaji angekuwa peke yake manunuzi ambayo angefanya yangekuwa sawa na wakiwa kumi ?Nimekwambia Tanzania una shida ya mikono mingi kwenye sahani moja,yaani mhemeaji mmoja anabeba kundi kubwa,anaelipa Kodi hapa no mhemeaji,watoto waliomaliza vyuo na hawana ajira wakika kwa wazazi na ndugu ni wengi,Hawa hawalipi kodi
Sio kuitazama ni mpumbavu,sasa kama anajua changamoto lukuki bado unapopinga mbinu ya serikali ku mobilise pesa kwa ajili ya kutatua hizo changamoto tumuelewaje?Miaka 60 ya uhuru unamlaumu huyo Zitto kwamba ndio amekuwa akiitawala hii nchi na kushindwa kushughulikia hayo, au tukueleweje sijui.
Assume kwamba COVID-19 isingekuwepo hayo mambo wangeya shughuliaje?
Hao wote wangekua wanalipa Kodi ingefanana na Kodi ya huyo mmojaHawali ? Hawanunui ?, Huyo muhemeaji angekuwa peke yake manunuzi ambayo angefanya yangekuwa sawa na wakiwa kumi ?
Kwahio na hizi tozo za kwenye miamala ni huyu muhemeaji mmoja anatoa miamala alafu anaigawa kwenye mikono mingine ? Ndio maana nikakupa mfano wa mkazi wa sehemu yaliyopo machimbo yanayoharibu afya ya huyu mkazi..., Tozo za mchimbaji zingekuwa equivalent na shida anayopata huyu mkazi (sababu hata maumivu ya kuchafuliwa hewa anayopata huyu mtu ni kero tosha)
Shida ya Tanzania sio lack of buying power ya watu pekee (ingawa nalo ni tatizo) na kama hilo ni tatizo solution sio kuwakamua zaidi watu wasio na buying power..., Tatizo kuu ni kutokutumia vema Keki ya taifa kwa kutafuta vyanzo vya mapato rafiki na vyanzo hivyo vinapopatikana kuliwa na wachache... Na tunavyochimba madini na kumaliza kila kitu kwenye generation yetu in short tunachofanya ni kufuja mpaka urithi wa taifa la keshokutwa
Back to the Point Technically Hakuna Mtanzania Asiyelipa Kodi
Hapana kwenye Income Tax; ila Consumption Tax ni sawa sababu consumption yake akiwa na watu kumi ni kubwa kuliko angekuwa peke yake bila wategemezi..Hao wote wangekua wanalipa Kodi ingefanana na Kodi ya huyo mmoja
huu mfano ni wa kijingaNini Kazi ya Tozo ?
Kwahio ukijinyima ili umalizie nyumba yako.., lakini ukapata pesa sehemu ya kumalizia nyumba utaendelea kujinyima ?, Je ukifa kwa Kwashiakooo ni nani atafaidika na nyumba yako ?
So Kuna upungufu kwenye kodi kwa kuwa Kuna Kodi hawalipiHapana kwenye Income Tax; ila Consumption Tax ni sawa sababu consumption yake akiwa na watu kumi ni kubwa kuliko angekuwa peke yake bila wategemezi..
Hence Technically they are paying consumption tax by association....
Tumkumbushe Zitto., afikirie madhara yaliyopatikana baada ya kuzuia 1.2 trillion kwa kuiandikia barua IFM.Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tozo za miamala ziliwekwa na serikali katika bajeti ya serikali ya mwaka 2021/2022 ili kuwezesha ujenzi wa madarasa nchini.
Hivi karibu Serikali imepata fedha kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) ambazo zimetangazwa kutumika kujenga vituo na madarasa nchi nzima. Zito ameshauri serikali kuzipunguza au kuziondoa tozo.
Zitto amezungumza hayo akiwa katika mahojiano Times FM
Kutokulipa baadhi ya kodi haimaanishi hawalipi kabisa..., Ofcourse kuna tatizo la kipato, na hilo ndio tatizo kubwa sana, na utatuzi wake sio kukamua zaidi.., bali ni kuhakikisha watu wana-buying power...So Kuna upungufu kwenye kodi kwa kuwa Kuna Kodi hawalipi
We jamaa ni wasted sperm asee. Poyoyo kabisa usie hata na tone ya akili. Na kama umesoma basi ni aheri baba ako angepeleka ng'ombe shuleni kulikoni kupoteza vyote pesa na mbeg zake.Kama hana uwezo anaropoka nini sasa..
Afu kuna watu mna akili finyu na ya kimaskini.Muwe mnafuatilia taarifa,Maji ni tatizo nchi nzima,huduma za afya ni shida ,vyumba vya madarasa ni vichomi,barabara ndio kabisaa sasa vihela vya tozo SI tuu hazitoshi ila ni kama tone tuu .Hizo tozo mnazopigia kelele humu hazifiki Hata Til.1 kwa mwaka ..
Sasa hiyo hela Sio kitu ila kwa kuwa mna ujinga Mwingi na hamuelewi ndio ma'am mnaandika upupu.
Useless and hopeless donkeyWe jamaa ni wasted sperm asee. Poyoyo kabisa usie hata na tone ya akili. Na kama umesoma basi ni aheri baba ako angepeleka ng'ombe shuleni kulikoni kupoteza vyote pesa na mbeg zake.
Wewe una akili nyingi sana, mbona hujajibu maswali yangu?Kama hana uwezo anaropoka nini sasa..
Afu kuna watu mna akili finyu na ya kimaskini.Muwe mnafuatilia taarifa,Maji ni tatizo nchi nzima,huduma za afya ni shida ,vyumba vya madarasa ni vichomi,barabara ndio kabisaa sasa vihela vya tozo SI tuu hazitoshi ila ni kama tone tuu .Hizo tozo mnazopigia kelele humu hazifiki Hata Til.1 kwa mwaka ..
Sasa hiyo hela Sio kitu ila kwa kuwa mna ujinga Mwingi na hamuelewi ndio ma'am mnaandika upupu.
Sijibugi maswali ya viazi wa kienyejiWewe una akili nyingi sana, mbona hujajibu maswali yangu?
Zito lipa kodi.Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tozo za miamala ziliwekwa na serikali katika bajeti ya serikali ya mwaka 2021/2022 ili kuwezesha ujenzi wa madarasa nchini.
Hivi karibu Serikali imepata fedha kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) ambazo zimetangazwa kutumika kujenga vituo na madarasa nchi nzima. Zito ameshauri serikali kuzipunguza au kuziondoa tozo.
Zitto amezungumza hayo akiwa katika mahojiano Times FM
Assuming UVIKO - 19 asingekuwepo, wangeya shughulikia kama walivyo fanya - kwa kukopa mapesa kutoka aidha IMF au WB au kokote - kwani hii nchi yetu kwa sasa INAKOPESHEKA na INAKUBALIKA kwa mabenki ya dunia na hata manchi mengi duniani. Hayo ya Mwepsi namwachia yeye na wenzake!Miaka 60 ya uhuru unamlaumu huyo Zitto kwamba ndio amekuwa akiitawala hii nchi na kushindwa kushughulikia hayo, au tukueleweje sijui.
Assume kwamba COVID-19 isingekuwepo hayo mambo wangeya shughuliaje?
Kwahiyo hilo deni mtalipia kende??Kwa hiyo tozo zikiendelea kuwapo hilo la IMF halitakuwa deni tena?