Kwani hizo za IMF ni za bure? Mi nashauri kama kuna uwezekano wazirudishe tu ili mbeleni zisije ongeza mzigo kwa nwananchi. Kama ni madarasa bora watoto wasome hata chini ya mti....jambo kubwa watoto waelezwe ukweli kuwa nchi ni masikini hivyo wanatakiwa kucope na mazingira ya umaskini.