begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,124
- 1,946
Naona vijana wenzangu na watu wazima wanakatishwa maisha yao kisa siasa wakati tangu siasa zianzishwe hakuna mabadiriko yoyoteInaonekana umekata tamaa kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona vijana wenzangu na watu wazima wanakatishwa maisha yao kisa siasa wakati tangu siasa zianzishwe hakuna mabadiriko yoyoteInaonekana umekata tamaa kabisa.
Hayo ni matatizo ya ko usituhusishe na wengine,, huwezi ukatake risk kwakitu ambacho hakiwezekani,,nyi ni genge la kutoa kafara watu,,minaona watu waachane na siasa maana hakuna mabadiriko yoyote zaidi ya watu kutolewa kafara huku viongozi wa vyama vyao wakipeta,vyama vipo kamaa kiini macho kuonesha dunia kunademocrasia kumbe hamna kitu,,,kama chama mmefanya jitihada gani kwawaliouawawa na watekaji,,siasa bongo ni upuuzi mtupuNa m
Ni mambo matano juu yako .
1.Malezi yako ni tatizo
2.Umekaa kijijini tena vile vijiji ambavyo maendeleo kwa siyo Habari
3.Elimu yako bado haijakusaidia!(NENO UKOMBOZI NA UHURU KWAKO NI MSAMIATI MGUMU)
4.Huna uwezo kwenye maisha yako KU-TAKE RISK KWA CHOCHOTE
5.Asili yako umekulia kwenye CCM sana hivyo wewe ni Mtanzania muoga Hyo
Rudi shule uelimike !!Hy
Hayo ni matatiz ya ko usituhusishe na gine,, huwezi ukatake risk kwakitu ambacho haakiwezekani,,nyi ni genge la kutoa kafara watu,,minaona watu waachane na siasa maana hakuna mabadiriko yoyote zaidi ya watu kutolewa kafara huku viongozi wa vyama vyao wakipeta,vyama vipo kamaa kiini macho kuonesha dunia kunademocrasia kumbe hamna kitu,,,kama chama mmefanya jla itihada gani kwawaliouawawa na watekaji,,siasa bongo ni upuuzi mtupu
We uliyesoma umebuni technology gani zaidi ya kumiliki makende,ukitoa hako kadigrii kakukalilishwa kichwani unabaki na Nini!?Rudi shule uelimike !!
Hata kuandika kiswahili hujui!?Mabadiriko* ndo nini?
Kuna aliyelazimishwa kuingia kwenye siasa ?
Siasa na ukombozi ni mapenzi ya mtu.
Unatatizo la kielemu ,kimalezi na kijamii
Mzee naomba urudi kijiji ukalee wajukuu. Umemeza matango pori mengi sana 😂Hapana mtoto wangu. Inajulikana kabisa hata Dkt Slaa aliwahi kusena kabisa kuwa mbowe ana kikundi cha ugaidi na mauaji na pia zito aliwahi sema hayo maneno kipindi alitoka chama mfu chadema, kwa hiyo ukiangalia kabisa mbowe hapendi mtu anayenyemelea nafasi yake ya uenyekiti kama alivyomuua ben na baadaye kufanya shambulio la kumuua lisu
huo ndo ukweli halisi siasa ni mchezo wa kipumbafu tangia mmefanya siasa mmeleta mabadiriko gani kwenye sana sana nachoona ni watu kuhalibiwa maisha yao na mda wao bora msuse tu kwamba upinzani hakuna.unafurahia watu wanavyokufaa eeh,amakweli chakula kisicho na vitamini ni mzigo kwa tumboUshauri wako ni WA kijinga sana na cowards kama wewe hawana mchango wowote kwenye taifa hili.
Wewe ni zao la Facebook, Memkwa na BRN, kajifunze kwanza kuandika Ndipo uweze kujifunza Nini hasa kinajadiliwa.huo ndo ukweli halisi siasa ni mchezo wa kipumbafu tangia mmefanya siasa mmeleta mabadiriko gani kwenye sana sana nachoona ni watu kuhalibiwa maisha yao na mda wao bora msuse tu kwamba upinzani hakuna.unafurahia watu wanavyokufaa eeh,amakweli chakula kisicho na vitamini ni mzigo kwa tumbo
Atakaribia kuharisha sio mudaMzee naomba urudi kijiji ukalee wajukuu. Umemeza matango pori mengi sana 😂
tanzania hakuna upinzani hata upinzani ukishinda figusu kibao we inaonesha ni uzao wasodoma na gomorah maana hujielewi. kaeni mbali na siasa au mnapenda ruzuku zinazo tolewa?Wewe ni zao la Facebook, Memkwa na BRN, kajifunze kwanza kuandika Ndipo uweze kujifunza Nini hasa kinajadiliwa.
Hakuna ukweli wowote uliondika isipokua hisia zako tu! Naomba nijiepushe kujadili mtu na nijadili hoja.
Ndugu kama unashindwa kujenga hoja Ili kushawishi jambo lako likibaliwe au kuungwa mkono jiepushe kushambulia nafsi!tanzania hakuna upinzani hata upinzani ukishinda figusu kibao we inaonesha ni uzao wasodoma na gomorah maana hujielewi. kaeni mbali na siasa au mnapenda ruzuku zinazo tolewa?