Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Heri ya Noeli wanaJF,
Nimelazimika niandike makala hii ili kumuonya mdogo wangu Zitto kuacha siasa za uzushi ili kuepuka "viboko" vya karma.
Nimkumbushe jinsi karma inavyowacharaza CHADEMA kwa kutoa mifano miwili; awali, sasa hivi wanamkumbuka JK huku wakibubujikwa na machozi huku wakitubu kwa uzushi waliomfata kwamba ni dhaifu,hajafanya lolote.
Pili,walimtukana na kumtuhumu Lowassa lakini baadaye wakamsafisha,haya mambo mawili yamewafanya wasiaminike kiasi cha umma wa Watanzania kuwadharau na kutotilia maanani kauli na malalamiko yao.
Hakika karma inawacharaza kisawasawa,Zitto naye kazamia kwenye uzushi ili kupata umaarufu usiodumu.Siku za hivi karibuni ulizusha kuhusu afya ya Rais na Jana ukaeneza uzushi kuhusu kutekwa Prof.Assad.Yote haya yanathibitika no uzushi ndani ya masaa 24.
Wananchi wamekupuuza na kukudharau,Ila kwa siku zijazo ukiendelea karma haitakuacha itakucharaza kama inavyowacharaza CHADEMA.
Zingatia mdogo wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app