Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Pls stop this childish posts, we're grown ups.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto ni CCM alianzia chipukizi!Chadema walimvua uanachama kwasababu kulikuwa na connection za siri chadema kuvuja , kwenye harakati za chadema hakuwahi kuwa mstari wa mbele , viongozi wa chadema wa ngazi za juu walipitia dhoruba nyingi ila yeye hajawahi kuguswa.
Huyu jamaa ana mission maalum ndo maana hata sasa hakamatwi ingawa anawaaminisha watu kuwa yupo sahihi ila ni mtu wa mission zake na watu wa upande wa pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jielekeze kwenye hojaPls stop this childish posts, we're grown ups.
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu tuliwaonya Chadema wakapuuza sasa hivi karma inawacharazaHuyu Zitto anamatatizo makubwa....hadi kigoma washamchoka sasa
Alitekwa na Wewe auAssad alitekwa na baada ya kelele za raiya wakamuachia.
Unataka Zitto akamatwe kwa kosa gani labda kwa mfano????
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna taarifa rasmi..jua hadi leo Mo imebakia unknown kuwa waliomteka nibakina nani..na huwa haliongeleiAmeishakana hajatekwa mkuu, mimi ni nani hasa nisimsikilize Assad nianze kufuatilia tweets za ZZK?.
Ingia twitter kwenye account ya Zitto utajionea alichokiandikaNi wapi Zitto alileta habari za kutekwa Assad?, Au kila jumba bovu mmeamua kumwangushia Zitto?
Inahitaji akili kuelewa meseji ya Assad. Ila kwa vile umejipa likizo baki huko huko likizoni.Ameishakana hajatekwa mkuu, mimi ni nani hasa nisimsikilize Assad nianze kufuatilia tweets za ZZK?.
Wakienda kumkamata watakutana na ziwa Tanganyikambona kawaalika wamkamate but wanamgwaya? wajaribu waone!!
Zitto Kabwe: Njooni mnikamate mimi mnihoji, mnaogopa nini? Wacheni kuwaonea Watanzania wengine kwa ajili yangu
Mh Zitto, tunakupongeza na kukutia moyo kwa kuwa this much daring dhidi ya watesi wa raia wasio na hatia yoyote. Mungu atatenda at some point I'm sure!www.jamiiforums.com