Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawashwawashwa, unahitaji kukunwa kisawasawa, kama alivyosema Jiwe
Kuna siku alilala kwenye ukumbi wa bunge kwa kuogopa kukamatwa ndipo Spika Ndugai akamhifadhi nyumbani kwake!
Assad alitekwa na baada ya kelele za raiya wakamuachia.
Unataka Zitto akamatwe kwa kosa gani labda kwa mfano????
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba Assad hayupo salama ametekwa lakini aliweza kupata nafasi ya kutumia simu au PC kukanusha ujumbe wa kusema hajatekwa yupo salama?Hakuna taarifa rasmi..jua hadi leo Mo imebakia unknown kuwa waliomteka nibakina nani..na huwa haliongeleiView attachment 1303879
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameishakana hajatekwa mkuu, mimi ni nani hasa nisimsikilize Assad nianze kufuatilia tweets za ZZK?.
Hadi Jf wanamuamini Zitto kupita mfano
Jana wanaweka msisitizo
Hapa kuna tatizo
Wana malengo yao binafs
Alitekwa na Wewe au
Acha upuuzi wewe
Kuzusha ujinga na upuuzi hamna mnae mkomoa
Tatizo wote ni Vibendera fuata mkumbo
Mnakurupuka sana
Kipindi kile mpk miamala aliyokua anafanya na wakina Jack Zo.. wa kule Eagle iliwekwa hadharani.Chadema walimvua uanachama kwasababu kulikuwa na connection za siri chadema kuvuja , kwenye harakati za chadema hakuwahi kuwa mstari wa mbele , viongozi wa chadema wa ngazi za juu walipitia dhoruba nyingi ila yeye hajawahi kuguswa.
Huyu jamaa ana mission maalum ndo maana hata sasa hakamatwi ingawa anawaaminisha watu kuwa yupo sahihi ila ni mtu wa mission zake na watu wa upande wa pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah naona katumia lugha ya picha 'serikali yangu ni tukufu'Hakuna taarifa rasmi..jua hadi leo Mo imebakia unknown kuwa waliomteka nibakina nani..na huwa haliongeleiView attachment 1303879
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wamakonde wenzio wameelewa!Hata kiswahili hujui, alilala ukumbi wa bunge hapo hapo Ndugai akamhifadhi nyumbani kwake?
Sent using Jamii Forums mobile app