Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
- Thread starter
- #21
Asiyesikia la Mkuu huvunjika guu,tuliwaonya Chadema wakapuuza sasa hivi karma inawacharazaUpuzi mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asiyesikia la Mkuu huvunjika guu,tuliwaonya Chadema wakapuuza sasa hivi karma inawacharazaUpuzi mtupu
Asiyesikia la Mkuu huvunjika guu,tuliwaonya Chadema wakapuuza sasa hivi karma inawacharaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipost kwenye kurasa zakeNi wapi Zitto alileta habari za kutekwa Assad?, Au kila jumba bovu mmeamua kumwangushia Zitto?
Ha ha ha kamanda unamtetea Zitto ili karma imcharazeHuna hoja bali utoto umekujaa. Zito aliendelea kutoa hiyo taarifa tena kwa kusema kuwa alikuwa anawasiliana na familia yake, kama ni ukweli au ni uongo hilo hatujui. Ila inapokuja kwenye kutoa taarifa zisizoaminika hata serikali ni sehemu ya hiyo tabia mbovu. Ukiona watu wanazusha na kunatokea uungwaji mkono, ujue serikali ni sehemu ya hilo tatizo. Hivyo ni vyema ukaishauri serikali ijenge tabia ya kutoa taarifa za kweli. Naona unaitaja cdm kwenye kila uzi ili upate wachangiaji, maana unajua fika chama chenye mvuto bila kutegemea madaraka ya rais ni cdm.
Yumo humu sasa hivi anakusomaUmenikumbusha changudoa wa magazetini wanavyojitangaza kila wakati wakiona majina yao yanasahaulika. Utaona gazeti linaandika, .... akutwa na msokoto wa bagi. mara ..... anamiliki gari ya bilioni kadhaa, ....afumaniwa, nk. Ni kila aina ya upuuzi!
Zitto amewinda kukamatwa haoni kitu, reasoning ni poor sasa kisiasa anajitafutia shida ili aandikwe na 2020 iko next door.
Kwa uzushi ambao hata wewe bwashee umeuamini!Assad alitekwa na baada ya kelele za raiya wakamuachia.
Unataka Zitto akamatwe kwa kosa gani labda kwa mfano????
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameishakana hajatekwa mkuu, mimi ni nani hasa nisimsikilize Assad nianze kufuatilia tweets za ZZK?.Assad alitekwa na baada ya kelele za raiya wakamuachia.
Unataka Zitto akamatwe kwa kosa gani labda kwa mfano????
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha jazba,tuliza akili ujenge hojaSina popote ninapomtetea, acha mada za kitoto zilizojaa upotoshaji.