Zitto usipoacha uzushi Karma itakucharaza kama inavyowacharaza CHADEMA

Vipi CCM ilimwambia nini Lowassa 2015 ,hasa kina Nape,Polepole na Marehemu yule mama Waziri wa Tamisemi? Leo Lowassa yupo CCM, Polepole na Nape kimyaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo CCM anafanya nini? Kamnunua JPM kama alivyowanunua akina Tundu?
Maana kwetu alikuja kuwanunua akina Tundu nayo kama MAZUZU yakampa Ugombea URAIS na kuifuta hoja ya UFISADI Rasmi.
Hadi leo wanachama tumebaki bila ujasiri tena wa kuusema UFISADI
 
Hili nalo neno
 
Word
 
Back
Top Bottom