Zitto usipoacha uzushi Karma itakucharaza kama inavyowacharaza CHADEMA

Zitto usipoacha uzushi Karma itakucharaza kama inavyowacharaza CHADEMA

Tunatakiwa kuwa makini na taarifa zinazogaa mitandaoni, tusipende kusambaza taarifa bila kujiridhisha.

Kuna mda mtu utaitwa ulete ushahidi wa taarifa fulani ikala kwako, tusiendeshwe kwa mihemko tutumie akili zetu vyema.

Na kuhusu ishu ya jana ya Professor Assad, ilijaa uzushi na uongo, nakumbuka kipindi cha nyuma hapa JF watu walikuwa wanahoji sana vyanzo vya taarifa otherwise wanaipuuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
KWELI MKUU. ZAMANI BILA KUWA NA SOURCE YA UHAKIKA HUPOST POST YAKO. SASA HIVI MTU ANAKURUPUKA NA HEADING A HABARI ISIYO NA CHANZO MAALUMU WATU WANACHANGIA TU. yashangaza mno.
 
Assad alitekwa mkuu,ukimsikiliza tu maelezo yake tu inajua kalishawa maneno ya kusema!!
 
KWELI MKUU. ZAMANI BILA KUWA NA SOURCE YA UHAKIKA HUPOST POST YAKO. SASA HIVI MTU ANAKURUPUKA NA HEADING A HABARI ISIYO NA CHANZO MAALUMU WATU WANACHANGIA TU. yashangaza mno.
Source za CCM ndizo hung’ang’aniza ziaminiwe lakini ujue watanzania siyo wajinga hata magufuli alikiri hilo bila source wanajua kuchambua ukweli na uongo hata sasa wenye Akili nyingi wanajua profesa Assad alitekwa lakini wamemtisha wakamwambia akanushe juu ya utekaji pasipo kuzingatia kuwa watanzania wa sasa wapo makini zaidi ya watetezi wachache wa CCM mitandaoni.
 
mungu atuondolee urekaji

Mungu awalaani washauri wakuu wa mtukufu wote wanaomshauri vibaya na pia mungu walaani washauri wa Daud Bashite akina Cyprian Musiba le mutuz Joseph yona na wenzao kwani bila wao kumshauri vibaya Bashite na Bashite kwenda kumshauri vibaya mtukufu, watanzania toeni laana kwa hao watu ili wapunguze kumshauri vibaya mtukufu
 
Jikite kwenye hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ya Noeli wanaJF,

Nimelazimika niandike makala hii ili kumuonya mdogo wangu kuacha siasa za uzushi ili kuepuka "viboko" vya karma jinsi karma inavyowacharaza Chadema

Hakika karma inawacharaza kisawasawa, Zitto ukiendelea karma haitakuacha itakucharaza kama inavyowacharaza Chadema.

Zingatia mdogo wangu.
Naunga mkono hoja na kufarijika sana Kaka Mkubwa Wakudadavua unapo refer Karma.
Karna is real.

P
 
Naunga mkono hoja na kufarijika sana Kaka Mkubwa Wakudadavua unapo refer Karma.
Karna is real.

P
Karibu Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaacha kutoa onyo kwa wanaoteka, kuua, kubambika watu kesi za ajabu, eti unakuja kumwonya Zitto!!? Wao na Zitto ni nani atafkwa na karma? Damu za watu zinamwaga bila hatia huoni kuwa ni kitu, acha upumbavu kbs na umwache Zitto afanye yake.
 
Ni vema mdogo wangu Zitto Kabwe ukanielewa na kuliomba radhi Kanisa kupitia maaskofu na wachungaji kwa tukio ulilolifanya siku ya tarehe 25/12/2019 la kumzushia alhaj Assad kuwa ametekwa na kuleta tafrani kubwa kwa wananchi.

Ulilofanya mh Zitto katikati ya sikukuu ya Noel siyo jambo jema yakupasa ujitafakari kwa upya kwani sisi tumefundishwa kutokaa mabarazani kwa wenye mizaha.

Maendeleo hayana vyama!
 
Jo hifadhi matamshi sometimes... We all don't know exactly what happened... Zaidi ya kupewa mirejesho tuliyopewa... Hivi inawezekanaje mtu awe offline kwa siku nzima? Ina maana hana hata familia ya kuijulia hali? Hata kama ni mkutano Kuna break time.. Tuwe na hifadhi ya maneno

Jr[emoji769]
 
Unaacha kutoa onyo kwa wanaoteka, kuua, kubambika watu kesi za ajabu, eti unakuja kumwonya Zitto!!? Wao na Zitto ni nani atafkwa na karma? Damu za watu zinamwaga bila hatia huoni kuwa ni kitu, acha upumbavu kbs na umwache Zitto afanye yake.
kamanda jielekeze kwenye hoja usitunge mada mpya.
 
mbona Chadema ndiyo imeamarika zaidi huku chama chetu CCM nguzo yake kubwa imebaki kuwa polisi?

bila polisi, CCM yetu ni nyepesi kama karatasi ya kuchambia!
 
Back
Top Bottom