Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
- Thread starter
- #141
Ofkozi kumnasa Sefu kawapiga bao ChademaZitto kabwe anataka kuongelewa yeye tu saizi.. Chadema wanacheza mziki wake. Yeye ndo atakua head of opposition kuanzia November 2020. Lazima ujue so far hakuna opereshen, mikakati, sera au mbinu zozote amabazo upinzani wanazo. Yaani hata ukimuuliaz msomi pale chuo kikuu dsm chadema au upinzani kwa ujumla wanasimamia nini saiz nna uhakika hatokua na jibu.
Operesheni sangara, list of shame nk zilizokua chini ya dr slaa zilizaa upinzani wa kweli nchini, upinzani wa damu uliojaa uzalendo.. leo chama eti mtu wa mkakati ni mdude...!!! Analopoka tu hana cheti cha standard seven inaweza kua mashaka... Kwa mtindo huu unategemea ccm kutoka madarakani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app