Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
ninyi na MshauriHuru ndio wale msiojulikana mnakuja kuchafua JF umejiunga juzi tu kwa ID nyingine ili iweje mbona miaka yote Jukwaa letu ni la kukosoana hasa katika Siasa?Hivi Zito wewe tatizo lako ni nini na kachama kako Uzushi kila kukicha , hivi kweli unadhani utafanikiwa kweli.Kila jambo linataka uthibitisho nadhani sasa uaumbuka na hadhi yako inapungua kila kukicha mbele ya macho ya watu wanakupuuza sana tena sana tu , mwishoe utaonekana chizi au dayoyo.
ya Tweeter tuliambiwa tusiyalete humu na hata Kigogo 2014 yumo humu lkn hachanganyi
mmeshajimilikisha Tanzania ni yenu hamtaki hata kushirikiana na wenzenu Keki ya Taifa, Magoti mmemuweka ndani mnamtaka na Zitto kweli wajinga wakubwa haya tumalizeni mmbaki wenyewe
Mleta Mada anatishia kabisa utafikiri yeye Moderator kajisahau km ni Member amejiunga Dec 18.2019
Zitto Maskini.
Sasa nilimsikia juzi eti anadai akamatwe yeye, nadhani anachokitaka atakipata, maana Tanzania lazima ibaki.Pole yake sana. Aendako.Atafika tu. Soon. Si kataka mwenyewe!