Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,612
Amekana prof au watekaji wameandika kuwa amekanusha!Ameishakana hajatekwa mkuu, mimi ni nani hasa nisimsikilize Assad nianze kufuatilia tweets za ZZK?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekana prof au watekaji wameandika kuwa amekanusha!Ameishakana hajatekwa mkuu, mimi ni nani hasa nisimsikilize Assad nianze kufuatilia tweets za ZZK?.
Hiyo tweet inayosemekana ni ya prof,hata ukiiangalia tu unaiona kabisa ni fake,Hamna namna mtu wa level ya prof anaweza akaihusisha serikali katika sakata la yeye kutekwa.tweet hii inaonesha mtekaji ni serikali sHakuna taarifa rasmi..jua hadi leo Mo imebakia unknown kuwa waliomteka nibakina nani..na huwa haliongeleiView attachment 1303879
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpuzi tu ww huna loloteAsiyesikia la Mkuu huvunjika guu,tuliwaonya Chadema wakapuuza sasa hivi karma inawacharaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kukana kwenyewe ni kwa kutumia tweet niliyoiona,I can assure you hiyo si tweet ya mtu wa level ya profAmeishakana hajatekwa mkuu, mimi ni nani hasa nisimsikilize Assad nianze kufuatilia tweets za ZZK?.
Jikite kwenye hojaLini hiyo KARMA itaicharaza CCM.....!!? Au wao wako immune.....!?
Karma itamcharaza Zitto kama inavyowacharaza ChademaAsad alikuwa anaelekea kupotezwa,kilichofanyika ilikuwa kama kum time mwewe kabla hajabeba Kifaranga.
Kipanya nae alitekwa kelele zikawa nyingi watekaji wakaambiwa na aliewatuma wamuachie,Kipanya Akarudi.
Kelele kwa sasa ndiyo suruhisho la washamba wanaoteka watu utadhani tupo CONGO.
Ili Zitto asizushe kama ulivyotumwa kuwatetea watekaji,waambie wanaokutuma wawaache Watanzania waishi kwa furaha,hofu na vitisho kamwe haviwezi kumnyamanzisha Zitto,Zitto ni sauti ya wasio na sauti.
Zitto anawafuasi mamilioni kwenye Mitandao,Familia ya Assad hawana Sauti mitandaoni,Vyombo vya habari vinaogopa hivyo wenye sauti kwa niaba ya wanyonge ni wale wenye Followers wengi mitandaoni,wakisema mamilioni wanapata ujumbe.
Zitto Keep it up,Utalipwa na Mungu wetu.
Mmetengeneza akaunti feki ya Assad halafu mnajichekesha,karma itaendelea kuwacharaza kwelikweliInahitaji akili kuelewa meseji ya Assad. Ila kwa vile umejipa likizo baki huko huko likizoni.
Hakuna taifa linalo weza kuwa na werevu wote, kama nyie lazima muwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karma itamcharaza kama inavyowacharaza ChademaNa iwapo atakamatwa, unaweza ukaniorodheshea faida utakayoipata wewe na familia yako? Mnadhani ni rahisi kuwafanya watanzania wote kuwa mabubu? Mkimkamata Zitto, ataibuka Zitto mwingine! Na hii ndiyo hulka ya binadamu.
Jambo la msingi ni kuwashauri viongozi wetu kukomesha haya mambo ya hovyo yanayo endelea kuota mizizi nchini mwetu.
Utacharazwa na karma hadi uchakaeUnawashwawashwa, unahitaji kukunwa kisawasawa, kama alivyosema Jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huyo anaua , anateka, anapeleka maiti coco beach, anapoteza na bado Karma hajamuangamiza, sembuse mimi malaika! hapana!