aha, kumbe lowasa ni mwanachama wa chadema. basi tv yangu ilinidanganya kuwa karudi nyumbani ana akapokelewa na mwenyekiti wa chama
Kamanda,hayo ni mateke ya mwisho ya farasi anayekufa.mbona Chadema ndiyo imeamarika zaidi huku chama chetu CCM nguzo yake kubwa imebaki kuwa polisi?
bila polisi, CCM yetu ni nyepesi kama karatasi ya kuchambia!
Yupo CCM anafanya nini? Kamnunua JPM kama alivyowanunua akina Tundu?Vipi CCM ilimwambia nini Lowassa 2015 ,hasa kina Nape,Polepole na Marehemu yule mama Waziri wa Tamisemi? Leo Lowassa yupo CCM, Polepole na Nape kimyaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nalo nenoYupo CCM anafanya nini? Kamnunua JPM kama alivyowanunua akina Tundu?
Maana kwetu alikuja kuwanunua akina Tundu nayo kama MAZUZU yakampa Ugombea URAIS na kuifuta hoja ya UFISADI Rasmi.
Hadi leo wanachama tumebaki bila ujasiri tena wa kuusema UFISADI
WordYupo CCM anafanya nini? Kamnunua JPM kama alivyowanunua akina Tundu?
Maana kwetu alikuja kuwanunua akina Tundu nayo kama MAZUZU yakampa Ugombea URAIS na kuifuta hoja ya UFISADI Rasmi.
Hadi leo wanachama tumebaki bila ujasiri tena wa kuusema UFISADI