Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Wanaipenda sanaa kiasi ambapo wapo tayari hata kupoteza kazi zao na hata kupoteza kila kitu chao kwa ajili ya kuipigania CCMKwahiyo unaamini watumishi wa umma wanaipenda ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaipenda sanaa kiasi ambapo wapo tayari hata kupoteza kazi zao na hata kupoteza kila kitu chao kwa ajili ya kuipigania CCMKwahiyo unaamini watumishi wa umma wanaipenda ccm.
Lukas ,Lukas ,Lukaas nakuita mara tatu!!Kila siku huwa nakuonya sana.Zitto aache kuhangaika na kupiga mayowe yake hapa.Sasa naye kwa akili zake timamu alitegemea kuwa kuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kupigia kura chama chake? Ndio maana alifukuzwa CHADEMA
Mbowe kuna makosa aliyofanya kama kiongozi wa upinzani. Hata zile fedha za Samia kuchngia kanisa lilikuwa ni kosa. Lakini bado nasema ana msimamo na siyo kama Zitto. Anaweza kuwa na guts za kusimama na kutoa ukweli wa kuumiza serikali ambao Zitto kamwe hawezi. Na kingine... ile ya kumpokea Lowassa sidhani kama lilikuwa kosa. Lowassa alikuwa na tuhuma kibao ndiyo, lakini alikuwa amejijenga sana ndani ya CCM na wengi tuliona ndiyo chance nzuri ya kuondoa chama dola-CCM ili tuanze upya.Na Tuzo akampa Samia mwanaCCM na ticket ya kuwania Urais akampa mwanaCCM Lowassa, na baada ya kutoka mahabusu moja kwa moja ikulu, na maridhiano akaya nga'ang'ania hapa kamzidi mpaka Zitto.
Upo vizuri sana katika kumtetea Mbowe na kumkosoa Zitto huna tofauti na chawa wa kijani.Mbowe kuna makosa aliyofanya kama kiongozi wa upinzani. Hata zile fedha za Samia kuchngia kanisa lilikuwa ni kosa. Lakini bado nasema ana msimamo na siyo kama Zitto. Anaweza kuwa na guts za kusimama na kutoa ukweli wa kuumiza serikali ambao Zitto kamwe hawezi. Na kingine... ile ya kumpokea Lowassa sidhani kama lilikuwa kosa. Lowassa alikuwa na tuhuma kibao ndiyo, lakini alikuwa amejijenga sana ndani ya CCM na wengi tuliona ndiyo chance nzuri ya kuondoa chama dola-CCM ili tuanze upya.
Kwa hili naungana na Zito amesema kweli,Hawa wanatakiwa watimize wajibu lakini sio kuwa sehemu ya madaraka ,watakuja kugeuza kibao na Kusababishia Nchi kuanza kuongizwa kijeshi.Wakuu,
Akiwa kwenye mkutano na wananchi Kigoma, leo Novemba 29, 2024 Zitto amesema;
Nataka nimwambie mwenyekiti wa CCM Rais Samia, kama kuna kosa ambalo CCM wanafanya ni kusurrender siasa kwa vyombo vya ulinzi na usalama. Vyombo vya Usalama vikishaonja madaraka ya kisiasa kama hivyo unavyofanya watakaofata kushughulikiwa ni CCM wenyewe, hivyo vyombo vitawaondoa CCM Madarakani.
Tunayoyaona ayantokea Angola, Mozambiki ni makosa ya FLELIMO na MPLA kusarenda kisiasa kwa vyombo vya dola ndio maana muda wote wangu wote nilivyokuwa mbunge katika jambo nililokuwa nalipigania kwa nguvu zangu zote ni kuiondoa Idara ya Usalama wa Taifa katika makucha ya CCM, nikawapigania mageuzi ya TISS kwasababu ni kosa kubwa sana kuiondoa nchi kwenye democracy na kuipeleka kwenye nchi inayoongozwa na vyombo vya dola.
Walishaonja kitambo, kuna wateule wengi wa Rais ni kutoka vyombo vya ulinzi na usalama.Wakuu,
Akiwa kwenye mkutano na wananchi Kigoma, leo Novemba 29, 2024 Zitto amesema;
Nataka nimwambie mwenyekiti wa CCM Rais Samia, kama kuna kosa ambalo CCM wanafanya ni kusurrender siasa kwa vyombo vya ulinzi na usalama. Vyombo vya Usalama vikishaonja madaraka ya kisiasa kama hivyo unavyofanya watakaofata kushughulikiwa ni CCM wenyewe, hivyo vyombo vitawaondoa CCM Madarakani.
Tunayoyaona ayantokea Angola, Mozambiki ni makosa ya FLELIMO na MPLA kusarenda kisiasa kwa vyombo vya dola ndio maana muda wote wangu wote nilivyokuwa mbunge katika jambo nililokuwa nalipigania kwa nguvu zangu zote ni kuiondoa Idara ya Usalama wa Taifa katika makucha ya CCM, nikawapigania mageuzi ya TISS kwasababu ni kosa kubwa sana kuiondoa nchi kwenye democracy na kuipeleka kwenye nchi inayoongozwa na vyombo vya dola.
Mimi siyo chawa na kamwe sitakaa niwe chawa. Kwanza Mbowe ame-overstay kwenye uenyekiti na mimi siyo mshabiki wa viongozi wasiotaka kuwe na ukomo wa uongozi.Upo vizuri sana katika kumtetea Mbowe na kumkosoa Zitto huna tofauti na chawa wa kijani.
Wewe ni chawa mwekundu.
Kwa nini hivyo vyombo vijihangaishe wakati tayari wapo madarakani wakiwa mgongoni kwa CCM?Wakuu,
Akiwa kwenye mkutano na wananchi Kigoma, leo Novemba 29, 2024 Zitto amesema;
Nataka nimwambie mwenyekiti wa CCM Rais Samia, kama kuna kosa ambalo CCM wanafanya ni kusurrender siasa kwa vyombo vya ulinzi na usalama. Vyombo vya Usalama vikishaonja madaraka ya kisiasa kama hivyo unavyofanya watakaofata kushughulikiwa ni CCM wenyewe, hivyo vyombo vitawaondoa CCM Madarakani.
Tunayoyaona ayantokea Angola, Mozambiki ni makosa ya FLELIMO na MPLA kusarenda kisiasa kwa vyombo vya dola ndio maana muda wote wangu wote nilivyokuwa mbunge katika jambo nililokuwa nalipigania kwa nguvu zangu zote ni kuiondoa Idara ya Usalama wa Taifa katika makucha ya CCM, nikawapigania mageuzi ya TISS kwasababu ni kosa kubwa sana kuiondoa nchi kwenye democracy na kuipeleka kwenye nchi inayoongozwa na vyombo vya dola.
Kwa mara ya kwanza Zitto anaongea jambo la MaanaWakuu,

Huu haukua uchaguzi wa viongozi bali ilikuwa ni kuchagua wahuni kwenda kulamba asali miaka 5 ijayo, ndio maana kwenye kura za maoni ndani ya CCM kuna watu wameuza hata majumba kuhonga wagombea ili wapigiwe kura kwa maana wanajua wakiingia madarakani watafisadi na gharama zao zitarudi mara dufu.Ninyi wapinzani ndio hampendwi na ndio maana mnanyimwa kura na watanzania
Jambo gani? 🐼Kwa mara ya kwanza Zitto anaongea jambo la Maana
We akili huna kwahiyo uliamini Yale maigizo daah kweli nchi hii Kuna watu hawajitambui yaani mtu ashutumiwe ugaidi halafu upinzani atoke kirahisi vile na kwenda kunywa chai ikulu🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbowe angekuwa kama Zitto asingekaa rumande kwa miezi kadhaa kwa sababu za kusingiziwa. Umeshawahi kuona Zitto amekamatwa na kukaa ndani?
La Samia kukabidhi nchi kwa TISS, WATEKAJI na POLISIJambo gani? 🐼
Umezaliwa lini?La Samia kukabidhi nchi kwa TISS, WATEKAJI na POLISI
Hakuna mwaka Rais wa Nchi aliwapigia magoti watu hao wawaue Wapinzani ili atawale atakavyoUmezaliwa lini?
Nakubaliana na hoja ya Zitto pamoja na ujinga wake wa kuonesha viashiria vya kushiriki kumuua Dkt Magufuli. Mfano halisi ni Egypt ambapo Hosni Mubaraka aliwaachia wanajeshi mwishowe wakawapindua wote hahahaWakuu,
Akiwa kwenye mkutano na wananchi Kigoma, leo Novemba 29, 2024 Zitto amesema;
Nataka nimwambie mwenyekiti wa CCM Rais Samia, kama kuna kosa ambalo CCM wanafanya ni kusurrender siasa kwa vyombo vya ulinzi na usalama. Vyombo vya Usalama vikishaonja madaraka ya kisiasa kama hivyo unavyofanya watakaofata kushughulikiwa ni CCM wenyewe, hivyo vyombo vitawaondoa CCM Madarakani.
Tunayoyaona ayantokea Angola, Mozambiki ni makosa ya FLELIMO na MPLA kusarenda kisiasa kwa vyombo vya dola ndio maana muda wote wangu wote nilivyokuwa mbunge katika jambo nililokuwa nalipigania kwa nguvu zangu zote ni kuiondoa Idara ya Usalama wa Taifa katika makucha ya CCM, nikawapigania mageuzi ya TISS kwasababu ni kosa kubwa sana kuiondoa nchi kwenye democracy na kuipeleka kwenye nchi inayoongozwa na vyombo vya dola.
Sasa hapo usichoelewa ni Nini? Asiyeeleweka utakuwa ni wewe na kundi la baadhi ya wenye akili Kama zako ambao huacha kujadili hoja na kujikita kumjadili mtuZitto mzee wa kuuma na kupuliza. Hakuna mwanasiasa ambaye simwelewi kama huyu. Huwezi kujua kama yuko upande wa serikali, huwezi kujua kama ni mpinzani, yaani ni kama popo. Anasemaje haya wakati yeye na Samia ni wamoja?