LGE2024 Zitto: Vyombo vya Ulinzi na Usalama vikishaonja madaraka ya kisiasa watakaofata kushughulikiwa ni CCM wenyewe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Na hapo hujahoji Bali umeachana na mada husika ukaanza kuhoji credibility ya mhusika mwenyewe! Swali langu kwako tena, Je hakuna jambo ambalo linahitaji attention?
Kama nilivyosema huyo jamaa haaminiki. You should take his words with a pinch of salt.
 
Samia anachukuwa ushauri kutoka uarabuni. Waarabu ndiyo watu makatili sana na huwaona watu weusi kama siyo binadamu. Kna siku mtajua ukweli wa ninachosema.
 
- Amewaonya CCM kuwa wanachofanya kwa sasa kitawageuka kama inavyotokea nchi nyingine.

- Ametolea mfano yanayoendelea Angola na Msumbiji kuwa Vyama tawala vilitegemea Vyombo vya Dola kubaki madarakani

- Ameonya kuruhusu Taifa kuendeshwa na Vyombo vya Dola badala ya Demokrasia iliyowekwa kikatiba

- Asema Chama cha Siasa ambacho kinashindwa kushawishi wananchi na kuishia kuegemea Dola, siku kinaondoka madarakani hakitajua. Na kudondoka kwake kutakuwa kwa mshindo mkubwa sana

- Ameongeza kuwa Vyombo viwili vya Dola vimeshaingizwa kwenye siasa (Polisi na Idara ya Usalama)

Video hii hapa:

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…