Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Lakini kaongea pointZitto siyo mpinzani hana haki ya kuhoji,ccm mbele kwa mbele.
Kwanini asimtaje aliyewaalika yeye anakimbilia 2020 ili kumtwisha Mzigo Mgalatia?Zitto Kabwe kupitia mtandao wa X, amesema kuwa baada ya CCM kuua bunge 2020 wafanyabiashara sasa hawajifichi tena kuchangia chama hicho hadharani tofauti na zamani ambapo bunge lilikuwa nguvu hivyo walilazimika kuvichangia vyama vyote kisirisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao.
----
CCM inapata kiburi cha ku parade wafanyabiashara kukusanya fedha kwa sababu WALIUA Bunge. Miaka ya nyuma wafanyabiashara walichangia CCM lakini sio hadharani kwa sababu walijua kuwa kashfa zao zitaibuliwa Bungeni.
Wafanyabiashara ilibidi wachangie vyama vyote kisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao.
Baada ya kupata Bunge Kibogoyo mwaka 2020 CCM inaamini kuwa itaendelea kuwa na Bunge kibogoyo tena na hivyo imejenga kiburi cha ajabu kabisa na wafanyabiashara nao bila kujali sensitivities za wateja wao wamejawa na kibri.
Watanzania wanayo nafasi ya kuwaonyesha Watawala kuwa wao ndio wenye nchi. Tafrija ya jana Mlimani City ya MONEY LAUNDERING inapaswa kuwa TURNING POINT ya Siasa zetu.
View attachment 3439995
Watu hawataki hivyo wao wanaangalia tu anayeongea ni mtakatifu au ni shetani basi hicho ndio kinachozingatiwa.Pamoja na makondokando yake, Zitto ana uwezo mkubwa wa akili na kujenga hoja.
Amesema masuala ya msingi katika namna rahisi.
Aminiki sasa, mzee wa kungata na kupuuliza.Pamoja na makondokando yake, Zitto ana uwezo mkubwa wa akili na kujenga hoja.
Amesema masuala ya msingi katika namna rahisi.
Zitto Kabwe kupitia mtandao wa X, amesema kuwa baada ya CCM kuua bunge 2020 wafanyabiashara sasa hawajifichi tena kuchangia chama hicho hadharani tofauti na zamani ambapo bunge lilikuwa nguvu hivyo walilazimika kuvichangia vyama vyote kisirisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao.
----
CCM inapata kiburi cha ku parade wafanyabiashara kukusanya fedha kwa sababu WALIUA Bunge. Miaka ya nyuma wafanyabiashara walichangia CCM lakini sio hadharani kwa sababu walijua kuwa kashfa zao zitaibuliwa Bungeni.
Wafanyabiashara ilibidi wachangie vyama vyote kisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao.
Baada ya kupata Bunge Kibogoyo mwaka 2020 CCM inaamini kuwa itaendelea kuwa na Bunge kibogoyo tena na hivyo imejenga kiburi cha ajabu kabisa na wafanyabiashara nao bila kujali sensitivities za wateja wao wamejawa na kibri.
Watanzania wanayo nafasi ya kuwaonyesha Watawala kuwa wao ndio wenye nchi. Tafrija ya jana Mlimani City ya MONEY LAUNDERING inapaswa kuwa TURNING POINT ya Siasa zetu.
Kama
Kama nimeelewa sehemu ya ujumbe wa ZZK, kuwa na bunge lisilo kibogoyo si kusaidia nchi na wanachi bali kuvisaidia vyama vyote/vingi vya siasa kupata michango toka kwa wafanyabiashara. Hii ni kwa sababu wakichangia vyama vyote sisi wanachi hatutajua kashfa zao maana bunge lote litakuwa kibogoyo kupitia michango ya wafanyabiashara kwa vyama vya siasa. Kwa maelezo mengine ZZK anaumia kuona ccm inachangiwa peke yake bila vyama vingine kuchangiwa.Zitto Kabwe kupitia mtandao wa X, amesema kuwa baada ya CCM kuua bunge 2020 wafanyabiashara sasa hawajifichi tena kuchangia chama hicho hadharani tofauti na zamani ambapo bunge lilikuwa nguvu hivyo walilazimika kuvichangia vyama vyote kisirisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao.
----
CCM inapata kiburi cha ku parade wafanyabiashara kukusanya fedha kwa sababu WALIUA Bunge. Miaka ya nyuma wafanyabiashara walichangia CCM lakini sio hadharani kwa sababu walijua kuwa kashfa zao zitaibuliwa Bungeni.
Wafanyabiashara ilibidi wachangie vyama vyote kisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao.
Baada ya kupata Bunge Kibogoyo mwaka 2020 CCM inaamini kuwa itaendelea kuwa na Bunge kibogoyo tena na hivyo imejenga kiburi cha ajabu kabisa na wafanyabiashara nao bila kujali sensitivities za wateja wao wamejawa na kibri.
Watanzania wanayo nafasi ya kuwaonyesha Watawala kuwa wao ndio wenye nchi. Tafrija ya jana Mlimani City ya MONEY LAUNDERING inapaswa kuwa TURNING POINT ya Siasa zetu.
View attachment 3439995
Hakika mkuu, ujumbe wake ni ukweli kabisa.Kweli tupu, kuna saa hata saa mbovu husema majira ya kweli
Ccm wamemvurugia mipango yake ya branchZitto kaacha tena ndoto za kugombea urais?