Kwa mara ya kwanza naunga hoja ya Mh Zitto, sikutegemea kuyaona haya katika siku zangu za mwishoni!Zitto Kabwe kupitia mtandao wa X, amesema kuwa baada ya CCM kuua bunge 2020 wafanyabiashara sasa hawajifichi tena kuchangia chama hicho hadharani tofauti na zamani ambapo bunge lilikuwa nguvu hivyo walilazimika kuvichangia vyama vyote kisirisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao.
----
CCM inapata kiburi cha ku parade wafanyabiashara kukusanya fedha kwa sababu WALIUA Bunge. Miaka ya nyuma wafanyabiashara walichangia CCM lakini sio hadharani kwa sababu walijua kuwa kashfa zao zitaibuliwa Bungeni.
Wafanyabiashara ilibidi wachangie vyama vyote kisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao.
Baada ya kupata Bunge Kibogoyo mwaka 2020 CCM inaamini kuwa itaendelea kuwa na Bunge kibogoyo tena na hivyo imejenga kiburi cha ajabu kabisa na wafanyabiashara nao bila kujali sensitivities za wateja wao wamejawa na kibri.
Watanzania wanayo nafasi ya kuwaonyesha Watawala kuwa wao ndio wenye nchi. Tafrija ya jana Mlimani City ya MONEY LAUNDERING inapaswa kuwa TURNING POINT ya Siasa zetu.
View attachment 3439995
Akili kubwa,nimeelewa hivi piaKama nimeelewa sehemu ya ujumbe wa ZZK, kuwa na bunge lisilo kibogoyo si kusaidia nchi na wanachi bali kuvisaidia vyama vyote/vingi vya siasa kupata michango toka kwa wafanyabiashara. Hii ni kwa sababu wakichangia vyama vyote sisi wanachi hatutajua kashfa zao maana bunge lote litakuwa kibogoyo kupitia michango ya wafanyabiashara kwa vyama vya siasa. Kwa maelezo mengine ZZK anaumia kuona ccm inachangiwa peke yake bila vyama vingine kuchangiwa.
Ndiyo hivyo.Kama nimeelewa sehemu ya ujumbe wa ZZK, kuwa na bunge lisilo kibogoyo si kusaidia nchi na wanachi bali kuvisaidia vyama vyote/vingi vya siasa kupata michango toka kwa wafanyabiashara. Hii ni kwa sababu wakichangia vyama vyote sisi wanachi hatutajua kashfa zao maana bunge lote litakuwa kibogoyo kupitia michango ya wafanyabiashara kwa vyama vya siasa. Kwa maelezo mengine ZZK anaumia kuona ccm inachangiwa peke yake bila vyama vingine kuchangiwa.
Hapa ndio ujuha wa sisi watanzania ulipo.Kweli tupu, kuna saa hata saa mbovu husema majira ya kweli
Natamani tuwe na mabunge mawili.la ukawa na mafisi maji tuone nani ataatutoa hapa.Haiwezekani yule bibi kaaxhia Uranium kwa kipande cha pweza na nyie wahenga old School mpo tuuZitto Kabwe kupitia mtandao wa X, amesema kuwa baada ya CCM kuua bunge 2020 wafanyabiashara sasa hawajifichi tena kuchangia chama hicho hadharani tofauti na zamani ambapo bunge lilikuwa nguvu hivyo walilazimika kuvichangia vyama vyote kisirisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao.
----
CCM inapata kiburi cha ku parade wafanyabiashara kukusanya fedha kwa sababu WALIUA Bunge. Miaka ya nyuma wafanyabiashara walichangia CCM lakini sio hadharani kwa sababu walijua kuwa kashfa zao zitaibuliwa Bungeni.
Wafanyabiashara ilibidi wachangie vyama vyote kisiri ili kuhakikisha wanalinda maslahi yao.
Baada ya kupata Bunge Kibogoyo mwaka 2020 CCM inaamini kuwa itaendelea kuwa na Bunge kibogoyo tena na hivyo imejenga kiburi cha ajabu kabisa na wafanyabiashara nao bila kujali sensitivities za wateja wao wamejawa na kibri.
Watanzania wanayo nafasi ya kuwaonyesha Watawala kuwa wao ndio wenye nchi. Tafrija ya jana Mlimani City ya MONEY LAUNDERING inapaswa kuwa TURNING POINT ya Siasa zetu.
View attachment 3439995
Sahihi snHapa ndio ujuha wa sisi watanzania ulipo.
Huwa hatupendi kujadili hoja, tunamjadili mtoa hoja.
SureHakika mkuu, ujumbe wake ni ukweli kabisa.
Tunaenda Kubaya sana Congo DRC wenye pesa watanunua jeshiCCM imeshaaharibu karibu kila
Bunge tayari
Administration ya serikali
Mahakama tayari
TISS tayari
Jeshi la polisi (sehemu kubwa)
Bado Magereza, Uhamiaji na JWTZ
Miaka mitano ijayo watamaliza hiyo kazi ndio wanachoweza ni kuharibu
Sio muda mrefu utasikia wauza madawa wametoroka jela
Utoaji wa uraia kiholela ili waarabu wa Oman na wengineo wapate ardhi kirahisi
Huko JWTZ na kwenyewe maafande watapeleka watoto, kupanda rank haraka. Lije kuwa kama jeshi la Nigeria au Congo; hawawezi pigana hata na vikundi vya wanamgambo.
Ni mwendo wa hela inaongea popote na tamaa ya watumishi kotę-kote.
It’s heading towards a fail state
Kama kuna mwanasisa ambaye hatakiwi kabisa kutiliwa maanani wala kuaminiwa mahala popote anapoongea nchi hii basi ni huyo muha kiongozi wa wasaliti.Hapa ndio ujuha wa sisi watanzania ulipo.
Huwa hatupendi kujadili hoja, tunamjadili mtoa hoja.