Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
ACT ni zanzibar.awaacie zanzibar na ACT yao ("CUF" yao)...πππππ
Anatamani kuendelea ila anaogopa kuweka precedent mbaya
Waswahili kwa kupenda Vyeo!!
Kwako ustaadh Aboubakar Ufipa st
Alishaiuza halafu anajidai wanamtaka aendeleeACT ni zanzibar.awaacie zanzibar na ACT yao ("CUF" yao)...
Huyu jamaa naye!! Anajikuta bado yuko relevant!??"Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea nimekataa kwasababu nisipo heshimu katiba naweka precedent mbaya kwa watu wengine watakao kuja baadaye na siwezi semea vyama vingine kwasababu kila chama kina katiba yake"
'Kuhusu kugombea hata kama ningekuwa bado ni kiongozi wa chama ningegombea tu ubunge na ningerudi tu bungeni na ningeendelea tu kuwa kiongozi wa chama, na nitagombea ubunge hilo halina mjadala Mungu atupe uhai hivyo suala la kurejea sio mjadala wa uongozi'
Tangu Nyerere aondoke CCM (astaafu), CCM haijawahi kusimama, bali ni nguvu za dola...polisi, mahakama, bunge ndivyo vinaiweka ccm madarakani.. Lakini kwa vile una akili za uchawa analysis kama hivyo huwezi kuifanya, a simple one!πππππ
Anatamani kuendelea ila anaogopa kuweka precedent mbaya
Waswahili kwa kupenda Vyeo!!
Kwako ustaadh Aboubakar Ufipa st
Kwa mtu asiyejua mfumo wa utawala wetu hapa nchini ndio anaweza kutoa comments kama hizi zako.Mvurugaji asie na sifa ya kua hata mwenyekiti wa Kijiji, alipewa ubunge kigoma miaka 15 na hakuna kitu chochote kile alichofanya ambacho anaweza kusimama na kujitetea
Mchumia tumbo at his best."Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea nimekataa kwasababu nisipo heshimu katiba naweka precedent mbaya kwa watu wengine watakao kuja baadaye na siwezi semea vyama vingine kwasababu kila chama kina katiba yake"
'Kuhusu kugombea hata kama ningekuwa bado ni kiongozi wa chama ningegombea tu ubunge na ningerudi tu bungeni na ningeendelea tu kuwa kiongozi wa chama, na nitagombea ubunge hilo halina mjadala Mungu atupe uhai hivyo suala la kurejea sio mjadala wa uongozi'
Zitto kawa Mwanachama wa kawaida, mbunge, Naibu Katibu mkuu wa Chadema, Kiongozi wa Chama ACT Wazalendo na sasa anastaafuTangu Nyerere aondoke CCM (astaafu), CCM haijawahi kusimama, bali ni nguvu za dola...polisi, mahakama, bunge ndivyo vinaiweka ccm madarakani.. Lakini kwa vile una akili za uchawa analysis kama hivyo huwezi kuifanya, a simple one!
TUUNGANE NAOACT ni zanzibar.awaacie zanzibar na ACT yao ("CUF" yao)...