Zitto: Wanachama ACT Wazalendo wanataka kubadili katiba ya chama ili niendelee kuongoza. Nimewaambia naheshimu katiba

Zitto: Wanachama ACT Wazalendo wanataka kubadili katiba ya chama ili niendelee kuongoza. Nimewaambia naheshimu katiba

"Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea nimekataa kwasababu nisipo heshimu katiba naweka precedent mbaya kwa watu wengine watakao kuja baadaye na siwezi semea vyama vingine kwasababu kila chama kina katiba yake"

'Kuhusu kugombea hata kama ningekuwa bado ni kiongozi wa chama ningegombea tu ubunge na ningerudi tu bungeni na ningeendelea tu kuwa kiongozi wa chama, na nitagombea ubunge hilo halina mjadala Mungu atupe uhai hivyo suala la kurejea sio mjadala wa uongozi'
Kwani 2020 hakugombea ubunge?
 
Zitto ni mmoja wa wanasiasa wachache hapa nchini wa daraja la kwanza kwa msimamo, uongozi, ufahamu wa uchumi na anaeweza kutambua na kutoa utatuzi sahihi wa changamoto zinazo kabili taifa.
Hana kukurupuka, amekomaa, ametulia kisiasa.
Anyway mimi sina chama kwa hiyo simpugii mtu debe ila natoa maoni.
Zitto hana msimamo ndiyo hapo anapoyumba
 
Back
Top Bottom