Zitto: Wanachama ACT Wazalendo wanataka kubadili katiba ya chama ili niendelee kuongoza. Nimewaambia naheshimu katiba

Zitto: Wanachama ACT Wazalendo wanataka kubadili katiba ya chama ili niendelee kuongoza. Nimewaambia naheshimu katiba

Mimi kama mlipa Kodi ambaye Kodi yangu inatumika kama Ruzuku sidhani kama hapa napata value for money (kwa haya maigizo)..., Ingawa kwa CCM ndio naona pesa yangu inaliwa zaidi...
 
"Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea nimekataa kwasababu nisipo heshimu katiba naweka precedent mbaya kwa watu wengine watakao kuja baadaye na siwezi semea vyama vingine kwasababu kila chama kina katiba yake"

'Kuhusu kugombea hata kama ningekuwa bado ni kiongozi wa chama ningegombea tu ubunge na ningerudi tu bungeni na ningeendelea tu kuwa kiongozi wa chama, na nitagombea ubunge hilo halina mjadala Mungu atupe uhai hivyo suala la kurejea sio mjadala wa uongozi'
😆😆😆
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anatamani kuendelea ila anaogopa kuweka precedent mbaya

Waswahili kwa kupenda Vyeo!!

Kwako ustaadh Aboubakar Ufipa st
Yupo sahihi, kwani Nani hqpendi maokoto ya ukubwa? Tuache unafiki,anachofanya ni sawa kabisa, fata katiba,ya chama,
 
Najua kweli uko principled zitto. Lakini kwa maana ya ujenzi wa chama na kwa kuwa wanachama wenyewe ndo wanakutaka, nami naungama nao.

Sheria zipo Ili zivunjwe wakati mwingine inapobidi. Na unajua Kuna maendeleo mengine yanakuja kwa kuvunja sheria, kwa maana ya mada niseme kuvunja taratibu Fulani

Usiache chama, bado ni mapema mno.

Natafuta muda nitaongea kwa urefu mahala hapa .
 
"Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea nimekataa kwasababu nisipo heshimu katiba naweka precedent mbaya kwa watu wengine watakao kuja baadaye na siwezi semea vyama vingine kwasababu kila chama kina katiba yake"

'Kuhusu kugombea hata kama ningekuwa bado ni kiongozi wa chama ningegombea tu ubunge na ningerudi tu bungeni na ningeendelea tu kuwa kiongozi wa chama, na nitagombea ubunge hilo halina mjadala Mungu atupe uhai hivyo suala la kurejea sio mjadala wa uongozi'
Sasa wenyekitutaarifu kutaka kubadili katiba ndio wangetueleza na sio wewe muhusika
 
Zitto kawa Mwanachama wa kawaida, mbunge, Naibu Katibu mkuu wa Chadema, Kiongozi wa Chama ACT Wazalendo na sasa anastaafu

Mbowe kawa mwenyekiti Bavicha, Mwenyekiti Chadema Taifa, Mgombea uRais, Mbunge, KUB, Mwenyekiti mwenza UKAWA, Mjumbe wa Maridhiano, Mtuhumiwa Ugaidi ...nk nk lakini kagoma kuuachia Uenyekiti Taifa [emoji23][emoji23][emoji209]
Hivi wewe ni wa jinsia gani?? Kila kukicha wewe na Mbowe. Iwe mjadala unahusu soka wewe lazima umtaje Mh Mbowe.
 
Back
Top Bottom