Mkuu unaongelea Zitto yupi? Huyu Zitto kabwe?Zitto ni mmoja wa wanasiasa wachache hapa nchini wa daraja la kwanza kwa msimamo, uongozi, ufahamu wa uchumi na anaeweza kutambua na kutoa utatuzi sahihi wa changamoto zinazo kabili taifa.
Hana kukurupuka, amekomaa, ametulia kisiasa.
Anyway mimi sina chama kwa hiyo simpugii mtu debe ila natoa maoni.